Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

People Record
Contact Us

11305.png

[TD="class: datalabel2"]Name[/TD]
[TD="class: keydata"]Stella Manyanya[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Surname[/TD]
[TD="class: data"]Manyanya[/TD]

[TD="class: datalabel2"]First Names[/TD]
[TD="class: data"]Stella Martin[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Alternate Name[/TD]
[TD="class: data"][/TD]

[TD="class: datalabel2"]Title[/TD]
[TD="class: data"]Mrs[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Country of Birth[/TD]
[TD="class: data"] Tanzania [/TD]

[TD="class: tableheader, colspan: 4"]Positions[/TD]

[TD="class: datalabel2"]From[/TD]
[TD="class: datalabel2"]To[/TD]
[TD="class: datalabel2"]Organisation[/TD]
[TD="class: datalabel2"]Position[/TD]

[TD="class: data"]2005[/TD]
[TD="class: data"][/TD]
[TD="class: data"] Special Womens Seats [/TD]
[TD="class: data"]Member[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Date of Birth[/TD]
[TD="class: data"]4 Aug 1962[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Political Affiliation[/TD]
[TD="class: data"] CCM [/TD]

[TD="class: datalabel2"]eMail[/TD]
[TD="class: data"][/TD]

[TD="class: datalabel2"]Telephone[/TD]
[TD="class: data"][/TD]

[TD="class: datalabel2"]Address[/TD]
[TD="class: data"][/TD]

[TD="class: datalabel2"]Notes[/TD]
[TD="class: data"]EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
University of Dar Es Salaam (UDSM) Post Graduate 2005 To Date POSTGRADUATE
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway PGD (Electric Power Distribution System) 1995 1996 POSTGRADUATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Advance Diploma (Electrical Eng.) 1987 1992 ADV DIPLOMA
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Full Technician Course (FTC) 1980 1983 CERTIFICATE
Songea Girls Secondary School Secondary Education 1976 1979 SECONDARY
Maguu Primary School Primary Education 1969 1975 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
TANESCO Head of Department 1992 To Date
Pugu Kaolin Mines Ltd Kisarawe (STAMICO) Technician 1983 1987
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Member 1997 To Date[/TD]

kumbe kapitia magazijuto?? (njia ndefu..........)

aisee nimeupenda mustach na ndevu zake jamani
 
Manyanya a.k.a mavitunguu, kumbe kelele yote ni mmbunge viti maalum (asante rais) afu kumbe kala msoto vibaya, mziki wa kuanzia certificate hadi post graduate si mchezo ati.
 
Kumbe anafanya kazi Tanesco (na kwa huu mgao naona niseme hafanyi) angeongelea hili janga tulilonalo sasa ningemuona wa maana
 
Huyu Manyanya nimeingiwa na mashaka makubwa juu ya Elimu yake . Huyu nadhani ni fundi mchundo na yeye akajiita Eng . SMS za matusi hii ni criminal kwa nini hawezi kufungua kesi ? Tanzania haina watu serious ilitakiwa uchunguzi uanze haraka sana kuupata ukweli .Lakini najua Slaa atajibu in kind .Kaanza mwenyewe na sijaona connection ya jambo la sms na bajeti .Au ndiyo wanadhani watamaliza uwezo wa Slaa jukwaani ?Old tactics
 
vyeti vya chu*i...kaunga ungaa
 
Huyo mama naona sasa ameamua kugusa mahali ambapo ni moto kwake,kakosa bwana na sasa anamuonea donge JOSEPHINE kwa kuwa na Dr. wa Ukweli, Dr. Slaa.Tunataka atueleze tangu awe Mbunge kawafanyia nini wananchi wake.Analeta maneno ya Saluni za kike Bungeni, Magamba yajiandae cause mwaka 2015 hatutaangalia ingineer wala nani, ni TUPA KULE TU kama ni GAMBA.
 
Sina uhakika na taarifa kwamba Dr. Slaa amehamasisha watu kutokufanya kazi na siwezi kukataa kama amesema hivyo. Ninachoweza kusema atakuwa amefanya jambo lisilo na maana kwa kusema hivyo. Inabidi afahamu kwamba umaarufu wa kisiasa hautafutwi kwa njia za namna hii.
 
Huyu Manyanya nimeingiwa na mashaka makubwa juu ya Elimu yake . Huyu nadhani ni fundi mchundo na yeye akajiita Eng . SMS za matusi hii ni criminal kwa nini hawezi kufungua kesi ? Tanzania haina watu serious ilitakiwa uchunguzi uanze haraka sana kuupata ukweli .Lakini najua Slaa atajibu in kind .Kaanza mwenyewe na sijaona connection ya jambo la sms na bajeti .Au ndiyo wanadhani watamaliza uwezo wa Slaa jukwaani ?Old tactics
mama josephne kashajibu very simple .chek utaiona comment yake
 
Huyu Manyanya nimeingiwa na mashaka makubwa juu ya Elimu yake . Huyu nadhani ni fundi mchundo na yeye akajiita Eng . SMS za matusi hii ni criminal kwa nini hawezi kufungua kesi ? Tanzania haina watu serious ilitakiwa uchunguzi uanze haraka sana kuupata ukweli .Lakini najua Slaa atajibu in kind .Kaanza mwenyewe na sijaona connection ya jambo la sms na bajeti .Au ndiyo wanadhani watamaliza uwezo wa Slaa jukwaani ?Old tactics
kapitia njia ndefu mkuu, kutokea cheti.......
 
mkuu, with all due respect, this is uncalled for na nakuomba kama mwanaume ufute hii post au uiedit

it is not what JF is here for... ni kama mimi nimuulize mama makinda anajisikiaje kuwa na mapengo, au ni poa tu

Done mkuu na naomba radhi sikujua kama mama ana status sawa na makinda nashukuru kwa kunifahamisha na sorry kwa waliokwazwa.
 
Hizi inshu za kukurupukia fani ni taabu tubu na aibu kwa tasnia ya elimu ya klibongo. Inawezekana vipi kwa Engineer anayeelewa majukumu ya kuwa engineer ethics zake then azungumze upuuzi kama huo. Baddala ya kujadili budget ya nchi na manufaa watakayopata wananchi wake yeye anahamia kwenye majungu.
Hivi wasomi wote wakihamia ccm akili wanaziweka kando ili waweze kuendana na aina ya mazingira waliyomo? Sidhani kama ni busara hata kidogo kupeleka mambo ya matusi ya sms bungeni. Kutukanwa na Josephine hata kama ni kweli ni sawa na kutukanwa na mtanzania mwingine yoyote je napo angeenda kushitaki kwa Mh. Spika au ndo kuleta siasa za maji taka. Please ccm MPs hebu tujaribu kuwa serious na mambo ya muhimu ya nchi we kama umetukanwa na ushahidi unao si uende mahakamani ukashitaki then vyombo vya dola viamue kesi yako.Mambo ya kudivert minds za watz kwa ujinga na upumbafu wenu sio mpango endelevu kwa kizazi kinachotafuta kujikwamua kiuchumi na kuwaletea watu wake unafuu wa maisha.

Narudia kumkumbusha engineer mwenzangu kuwa anatuaibisha maengineer bora kama hana comment angekaa kimya sasa nimeingiwa shaka na taaluma inawezekana naye alichakachua ama ndo wale waliohonga uchi ili kupata degree zao.
 
Engeneer na politics wapi na wapi!! Inabidi akacheze na spana huyu mama.

Prof. Mwandosya naye ni Engineer, sijawahi sikia anaropoka kama huyu mama. Hivi kale kaprogram ka FUSP kalianza zamani eeh
 
University of Dar Es Salaam (UDSM) Post Graduate 2005 To Date POSTGRADUATE
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway PGD (Electric Power Distribution System) 1995 1996 POSTGRADUATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Advance Diploma (Electrical Eng.) 1987 1992 ADV DIPLOMA
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Full Technician Course (FTC) 1980 1983 CERTIFICATE
Songea Girls Secondary School Secondary Education 1976 1979 SECONDARY

Baada ya 'O' level kaenda Certificate badala ya 'A' levels.... that alone ought to classify her into some interesting category academically. Sasa leo kama anongoza Department, huko sijui tutegemee nini, na hata bungeni ukiacha KUCHONGA tu na mikelele isiyo na substance.
Alikuwa failure siku nyingi, na sintashangaa DIVISION IV au sifuri enzi hizo.
 
todate?? si wakiwa wanasiasa wanatakiwa kuacha kufilisi mashirika ya umma au?

Akili yenye magamba haiwezi kuona hilo, wapo wanaendelea kunyonya - yaani mshahara wa shirika la umma anautaka, sitting allowance anahitaka, nk; na kama sivyo, basi ameundanya umma kwa kutoa taarifa za uongo "Employment history - TANESCO Head of Department 1992 to Date". Hapo wanasheria watusaidiye ni nini kinaweza kufanyika kwa mtu kama yeye.
Vipi, kama angelikuwa ni mwana TLP au chama chochote cha ushindani, natumai angelikuwa amekwisha ambiwa kuachia nafasi ya kazi ndani ya shirika la umma; hiyo ndo Tz.
 
Done mkuu na naomba radhi sikujua kama mama ana status sawa na makinda nashukuru kwa kunifahamisha na sorry kwa waliokwazwa.
Thanks mkuu, actually nilikua nadelete nikakuta mods nao wanaondoa, so i was in a que

Thank you and i've got nothing but love to you and the mods

I respect you mkuu
 
Anavyoitwa Engineer, mbona sioni alipograduate?
Mimi navyoelewa ili uwe Eng. inabidi uwe na bachelor of engeering; vilevile ili uwe Dr (professional) inabidi uwe na bachelor ya Medicine au Veterinary.
Huyu sasa yupo kundi gani la engineers?

People Record
Contact Us

11305.png

[TD="class: datalabel2"]Name
[/TD]
[TD="class: keydata"]Stella Manyanya
[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Surname
[/TD]
[TD="class: data"]Manyanya
[/TD]

[TD="class: datalabel2"]First Names
[/TD]
[TD="class: data"]Stella Martin
[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Alternate Name
[/TD]
[TD="class: data"][/TD]

[TD="class: datalabel2"]Title
[/TD]
[TD="class: data"]Mrs
[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Country of Birth
[/TD]
[TD="class: data"] Tanzania
[/TD]

[TD="class: tableheader, colspan: 4"]Positions
[/TD]

[TD="class: datalabel2"]From
[/TD]
[TD="class: datalabel2"]To
[/TD]
[TD="class: datalabel2"]Organisation
[/TD]
[TD="class: datalabel2"]Position
[/TD]

[TD="class: data"]2005
[/TD]
[TD="class: data"][/TD]
[TD="class: data"] Special Womens Seats
[/TD]
[TD="class: data"]Member
[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Date of Birth
[/TD]
[TD="class: data"]4 Aug 1962
[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Political Affiliation
[/TD]
[TD="class: data"] CCM
[/TD]

[TD="class: datalabel2"]eMail
[/TD]
[TD="class: data"][/TD]

[TD="class: datalabel2"]Telephone
[/TD]
[TD="class: data"][/TD]

[TD="class: datalabel2"]Address
[/TD]
[TD="class: data"][/TD]

[TD="class: datalabel2"]Notes
[/TD]
[TD="class: data"]EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
University of Dar Es Salaam (UDSM) Post Graduate 2005 To Date POSTGRADUATE
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway PGD (Electric Power Distribution System) 1995 1996 POSTGRADUATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Advance Diploma (Electrical Eng.) 1987 1992 ADV DIPLOMA
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Full Technician Course (FTC) 1980 1983 CERTIFICATE
Songea Girls Secondary School Secondary Education 1976 1979 SECONDARY
Maguu Primary School Primary Education 1969 1975 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
TANESCO Head of Department 1992 To Date
Pugu Kaolin Mines Ltd Kisarawe (STAMICO) Technician 1983 1987
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Member 1997 To Date
[/TD]

Back
Top Bottom