Aku mie sitaki eti. Yasije nikuta ya KIPIPI na Yule hermaphrodite ​aliyetoweka jamvini.
Huwezi nilinganisha na yule mie
Mie nakufuata mchana kweupe na sura yangu unaijua
Kubali basi yaishe? Huu ufunguo wa benzi unaniwasha kweli nikupe
Mmmmhhhhhhhh! Funguo?????
Wewe unatafuta wa kukusaidia maintanance costs ya hilo Benz. Halafu nahisi ni yale ya wastaafu yanaayouzwa mnadani.
Njoo ulione kwanza ndio uanze kuliponda, unaponda hata hujaliona?
Maintanance cost kitu gani? Kila wiki utapata USD 2000 za usumbufu wa kujiendesha mwenyewe
naona unamwaga mashairi....
Njoo ulione kwanza ndio uanze kuliponda, unaponda hata hujaliona?
Maintanance cost kitu gani? Kila wiki utapata USD 2000 za usumbufu wa kujiendesha mwenyewe
Hebu nijulishe Kongosho, hapo nitakuwa nalala wapi na nakula nini nikiwa na Hilo Benz.
My fellow teacher ndo nawaandaa vijana kwa ajili ya kipimo hapo february, pole kwa msiba my dear. Mengi yanajiri humu ndani, we acha tu. umeskia Madame B katangaza anatafuta mchumba!?? afu kajipambanua eti yeye ni mpole tena bikra, si kuwaibia watu huku!??
mipango ya muda mrefu kweli tunayo
snowhite ukiona shemejio Nicas Mtei anacheka cheka ujue ndo hivyo tena hana jibu
Makazi yake ya mwanza na safari yake ya kuja white party nililipia mimi na mjini anakaa kwa posho zangu
Blaki Womani mhhh Mama tuli sijui hata kaishia wapi maana alishindwa kuhimili haya mambo
snowhite mi sijasema ukicheka ndo umekubali ila ni dalili njema sana
We kubali tu proposal na utaona mambo yake.
Vin Diesel tabia zake ni za kipekee haziigiki zile aise
kwi kwi kwi iii....
mwl hivi wewe unafundisha form six enh??
manake wenzo wote tumeadimika bado upo tu si bure wewe sasa ndo unafunga scheme ndo mana.
BTW nimewamiss sana Mentor(dogo nakupenda sana), Mr Rocky, @c6, Kaizer (swtlo wangu), Asprin cacico , snowhite, { Madame B, Paloma, amu (nimerudi wapendwa)} na zaid sana Bishanga, @mpitwaga na Mtambuzi.
Nina kajumba kangu Bahari Beach waweza ishi kama unataka kwa muda huu
Ila kama una kasehemu kamevutia moyo wako sema tu nitakununulia, mradi tu kawe ndani ya bajeti ya USD 3m
Hela ya kula? Mtoto mzuri kama wewe usiseme hela ya kula tu bana
Omba hela ya matumizi, USD20,000 kwa wiki inatosha? Au nikupe blank cheque?
Halafu inaelekea Unaona sifa kuonga eh!!!!! Unfit 4 consumption.