Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
How?
Nafikiri unafahamu kwamba serikali imefuta kodi kwa wakulima wadogo wadogo, wale wanaosafirisha mazao chini ya tani 1 kwa wakati mmoja. Sasa Magufuli amekuwa akiwaambia wakulima kwamba ili wasilipe kodi wasisafirishe mazao yanayozidi tani 1 kwa mara moja. Yaani kama mkulima kazalisha tani 1, basi awe anabeba kidogo kidogo hadi amalize mazao yake. Hata kama kazalisha zaidi ya tani 1, asombe kidogo kidogo ili asitozwe ushuru!! Sikiliza hotuba zake alizotoa Kigoma, juzi Manyara na kadhalika.