pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,869
- 2,764
Pole sana ila nakutakia weekend njema.Good news!!
Ila nauliza washatoa mchango wa matibabu kwa ajili ya mtetezi wao Antipas?
Pole sana ila nakutakia weekend njema.Good news!!
Ila nauliza washatoa mchango wa matibabu kwa ajili ya mtetezi wao Antipas?
Sidhani kama unaelewa biashara za makampuni makubwa. Makampuni haya yanapata faida zaidi kwa ku-trade kwenye stock markets kuliko kwenye production. Production inatoa tu comfidence kwa wanunuzi wa hisa lakini siko ambako faida hupatikana.Sasa kama kweli walikuwa walikuwa wanapata 65% kwanini wameyumba kibiashara to the point downsizing ya shughuli zao kwa sasa is well beyond 35%? Msitake kufanya Watanzania wote ni malofa. Kwanini wanayumba kibiashara kiasi hicho kutokana na Makinikia wakati wanaendelea na production ya dhahabu?
Na kwenye kiingereza, don't get me started.
Mnachanganya mambo. Wafanyakazi wamepunguzwa mgodi wa Bulyanhulu. Walikofanikiwa kufanya extraction up to 85% ni Buzwagi. Two different companies although both are Acacia owned companies.kupunguza wafanyakazi ilikuwa ni mbinu ya kumtisha magufuli.. kwamba raia wake wanapoteza ajira.. magufuli akawapotezeaaa
Accacia are bunch of crooks and pirates.Why cant government give them one way ticket to Canada to freeze in ice?Fri 22 Sep 2017 07:00
ACACIA MINING PLC - Positive Results from Buzwagi processing trial
PR Newswire
London, September 21
22 September 2017
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION
Acacia Mining plc
Positive Results from Buzwagi Processing Trial
Acacia is pleased to announce positive results from the processing trial underway at Buzwagi that has been designed to maximise gold doré production from the mine.
Buzwagi currently produces both doré (gold bars) and a gold/copper concentrate (with over 90% of the value of the concentrate being gold). During 2017, gold/copper concentrate has accounted for approximately 65% of Buzwagi's gold production. Since 3 March 2017, however, the mine has been unable to export and sell its concentrate, and as such has only been selling approximately 35% of its gold production, whilst incurring 100% of the cost of production.
The results of the processing trial to date have indicated that Buzwagi should be able to achieve gold recoveries of around 85% through the additional use of reagents in the leaching circuit at limited additional operating costs. All of the recovered gold will be produced in doré form. Buzwagi previously intended to end concentrate production in Q2 2018, but as a result of the trial the mine will solely produce doré from now until the end of its life in 2020.
There are no changes to group production or cost guidance resulting from this processing change, however it will result in Buzwagi being able to sell an additional 8,000-10,000 ounces per month for the remainder of the year. As such, Government royalties and local service levies (which are based on revenue) from Buzwagi are expected to more than double for the remainder of the year due to the increase in sales compared to the last 6 months. We believe that the changes will move the mine from a monthly cashflow negative position to a monthly cashflow positive position, strengthening Acacia's balance sheet and helping to protect thousands of direct and indirect jobs that the Company supports.
Sidhani kama unaelewa biashara za makampuni makubwa. Makampuni haya yanapata faida zaidi kwa ku-trade kwenye stock markets kuliko kwenye production. Production inatoa tu comfidence kwa wanunuzi wa hisa lakini siko ambako faida hupatikana.
Watu wengi kwa sababu wamezoea biashara za viazi mviringo Kariaokoo ambako faida hutegemea idadi ya magunia waliyouza, wanadhani hali ipo hivyo hivyokwenye international business.
Siyo jambo la ajabu, kwa makampuni haya, likitokea tukio moja, kama lile la JPM kuzuia conentrates, halafu kesho yake ukaambiwa kampuni imepoteza $500m. Wasiojua wanadhani hasara hiyo imetokana na zile containers! In nowadays business, to make huge profit, you play with confidence not commodities.
70% fedha za kigeni?? Takwimu zako zipo sawa kweli? Maana hio utalii unachangia chini ya 30% ya fedha za kigeni?? Hizi takwimu si sawa.Wanasema mtambo wa makinikia wanauzima jumla, ikumbukwe kule bulyanhulu zoezi la kuzima mtambo wa makinikia umewaacha watanzania elfu mbili bila kazi.
Tukumbuke mitambo hii miwili ilichangia asilimia 70 ya fedha za kigeni, safari hii tutakopa benki zote duniani kupata hela za kuagiza dawa na vifaa vya kujifungulia wajawazito.
Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.
Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.
Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.
Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.
Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
Naomba nikushauri kitu kimoja huitaji kujieleza sana apa JF coment yako inakudefine...kitendo cha kujieleza who u are tayari ni udhaifu. ..hauitaji kutisha watu au kujieleza sana matendo na maneno yako yanatakiwa kukueleza. ..usiseme una pesa acha watu waseme una pesa kwa matendo yako ila sizungumzii pesa za wizi na ujanja ujanja namaanisha pesa halali zilizolipiwa kodi ili Watanzania wa kipato cha chini Kule kijijini na mijini wapatiwe matibabu....watu wengine wakikupa Cv zao utadelete account yako ya JFWewe ndio hujui ninachomaanisha mimi. Get a big picture u will understand what is behind my comment. Mimi ni zaidi ya unijuavyo hapa jf, nipo kwa ajili ya maslahi ya nchi na nipo pamoja na serikali yangu. Ongeza uelewa, utaelewa nini ninamaanisha.
Amecomentvkwa hisia bila kuelewa mwambie aache kuponda kila jema la serikali mwambie Vyama vitapita ila TANZANIA itabakiSijakuelewa hii post ya Accacia na coment yako
Sijazungumzia swala la pesa, sorry kama nimekuudhi.Mtanzania Mzawa said:Naomba nikushauri kitu kimoja huitaji kujieleza sana apa JF coment yako inakudefine...kitendo cha kujieleza who u are tayari ni udhaifu. ..hauitaji kutisha watu au kujieleza sana matendo na maneno yako yanatakiwa kukueleza. ..usiseme una pesa acha watu waseme una pesa kwa matendo yako ila sizungumzii pesa za wizi na ujanja ujanja namaanisha pesa halali zilizolipiwa kodi ili Watanzania wa kipato cha chini Kule kijijini na mijini wapatiwe matibabu....watu wengine wakikupa Cv zao utadelete account yako ya JF
Nyumbu sikulaumu, ndio uwezo wa kufikiri ulipofikia.Pumbavu kabisa!
Tehe tehe....ne Kwikwi.Jamaa alikuwa ashaenda kusaini buku 7 yake umemuharibia sasa kapewa nusu saa ya kurudi kwenye keyboard
Kwa hiyo wameiba wakijua wanaiba !?......kwa udhaifu wa muibiwa ?Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.
Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.
Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.
Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.
Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
Naona unapima malaria kwa macho ?Ni kweli dhahabu nyingi ipo kwenye makinikia, ila sio dhahabu nyingi ipo kwenye kontena moja. Nadhani hapa ndio kuna utofauti. Maana inabidi uzalishe mokontena mengi ili uipate dhahabu yako yote. Ni uelewa wangu
Tena wanatupa wakijua wanatupa !"Kopa yote wanatupa" ... tutaiokota akina sisi na kuiuza tu.. no sweat..