Statement: Positive results from Buzwagi processing trial

Mwanzoni walitulipa copper silver na Gold nado nauli ya kusafirisha mzigo pango la bandari kavu na ushuru wa bandari,

sasa tutaambulia ka royalty ka Gold peke yake! Na mzigo mwingine unatupwa jalalani, kumbuka copper ni kama chuma hupata kutu na kupotea. Kimsingi tumeliwa.
 
Wanasema mtambo wa makinikia wanauzima jumla, ikumbukwe kule bulyanhulu zoezi la kuzima mtambo wa makinikia umewaacha watanzania elfu mbili bila kazi.

Tukumbuke mitambo hii miwili ilichangia asilimia 70 ya fedha za kigeni, safari hii tutakopa benki zote duniani kupata hela za kuagiza dawa na vifaa vya kujifungulia wajawazito.
 
Wewe hujui kitu kuhusu hili. Tuhoji hela yetu ya kopa inalipwaje. Tuwaulize
We jamaa ni mzito sana kuelewa, halafu upo negative sided... Hela yenu ya kopa kutoka wapi? Hata kama kopa itatupwa , itakuja kuchenjuliwa tena baada ya technologia kukua. .. Soma uelewe kwanza kabla ya kukoment
 
Soma taarifa vizuri...mbona mnapenda kuskia mabaya tu yakiipata serikali ya Tanzania hivi mmezaliwa Kenya au Uarabun? kwa ufupi mwizi ameshkwa pabaya tumia jicho la tatu kuiptia hiyo taarifa ukweli ni kua makampuni ya Madini yalikua yanatuibia na mawakala wao ambao wengine ni Watanzania wenzatu wasiolipenda Taifa letu ambao wengine baada ya awamu hii walaiamua kuhama nchi...haya makampuni bado wanatakiwa kudhibitiwa vizuri
Huyo hana ABC ya anachojaribu kuongea,hajui kitu hajui hata metallurgy ikoje,hajui kopa inaweza kukaa pale hata miaka mia siku tukiamua kujenga smelter yetu wajukuu wanaweza kuprocess
 
We jamaa ni mzito sana kuelewa, halafu upo negative sided... Hela yenu ya kopa kutoka wapi? Hata kama kopa itatupwa , itakuja kuchenjuliwa tena baada ya technologia kukua. .. Soma uelewe kwanza kabla ya kukoment
Mpaka teknolojia ikue, we kweli hujui ulisemalo. Una maagano na Mungu kuwa teknolojia itakuwa. Thats was only my challenge to u, and u have failed it. Hunijui mimi ni nani, wala sikujui. Mimi nazingumzia maslahi ya nchi, wewe unaleta stori hapa. Get out wherever u see my comments.
 
Hiyo kopa ikinyeshewa mvua inatengeneza kopa oxide ambayo ni kutu, na ichanganyikana na salfa unapata kopa oksaidi ambayo ni hewa ya sumu na hutawanya mawimbi ya mvua kuanzia sasa tusitegemee kuvuna chochote kanda ya ziwa labda tuanze kulima tende.
 
Back
Top Bottom