Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Atip...so sad !Yaani sasa hivi Acacia wapo wapo tu,wamenyimwa uhuru kwa mkataba ulio wazi kabisa...so sad
Atip...so sad !Yaani sasa hivi Acacia wapo wapo tu,wamenyimwa uhuru kwa mkataba ulio wazi kabisa...so sad
Poa tu !Mwanzoni walitulipa copper silver na Gold nado nauli ya kusafirisha mzigo pango la bandari kavu na ushuru wa bandari,
sasa tutaambulia ka royalty ka Gold peke yake! Na mzigo mwingine unatupwa jalalani, kumbuka copper ni kama chuma hupata kutu na kupotea. Kimsingi tumeliwa.
Poa tu !Mwanzoni walitulipa copper silver na Gold nado nauli ya kusafirisha mzigo pango la bandari kavu na ushuru wa bandari,
sasa tutaambulia ka royalty ka Gold peke yake! Na mzigo mwingine unatupwa jalalani, kumbuka copper ni kama chuma hupata kutu na kupotea. Kimsingi tumeliwa.
Wazo zuri, tende tunaagiza nje hivyo tutaokoa fedha za kigeniHiyo kopa ikinyeshewa mvua inatengeneza kopa oxide ambayo ni kutu, na ichanganyikana na salfa unapata kopa oksaidi ambayo ni hewa ya sumu na hutawanya mawimbi ya mvua kuanzia sasa tusitegemee kuvuna chochote kanda ya ziwa labda tuanze kulima tende.
Poa tu, wacha tuongeze tozo ya hicho wanacho chenjua.Hasara nyingine kwa serikali. Ama kweli usicheze na mwenye akili.
Kilichofanyika hapa ni sawa na mtu mwenye shamba la mahindi (dhahabu) lililokuwa na mashina machache yaliyopo hapa na pale ya mbaazi (copper) na alizeti (silver). Alikuwa anavuna kwa kutumia combine harvester iliyokuwa inachambua mahindi punje kubwa na kuacha mahindi yenye punje ndogo, yakiwa yamechanganyika na mbaazi na alizeti.
Mchanganyiko wa mahindi punje ndogo, mbaazi na alizeti ulikuwa unapelekwa kwenye kiwanda chenye uwezo wa kutenganisha. Lakini katika mchanganyiko huo, katika thamani, 80% yalikuwa ni mahindi yenye punje ndogo.
Baada ya kuzuiwa kupelekwa mchanganyiko wa mahindi yenye punje ndogo, mbaazi na alizeti kwenye kiwanda, mvunaji ameamua kutafuta harvester mpya ambayo sasa itakuwa na uwezo wa kutambua mahindi yote hata kama yana punje ndogo kwa ufanisi wa 80%. Anaamua kuvuna mahindi tu, na kuacha mahindi ya punje ndogo 20% pamoja na mbaazi na alizeti, vyote viozee shambani.
Kwa sababu mchanganyiko wa mahindi yenye punje ndogo, alizeti na mbaazi, katika thamani, 80% yalikuwa mahindi ya pune ndogo, sasa alizeti na mbaazi haviwezi kuvunwa na kupelekwa kiwandani kwa faida.
Ikumbukwe kuwa silver na copper katika ile Au-Cu-Ag ore, concentration yake haifiki hata 0.1%. Ilikuwa inaongezeka baada ya kufanya concentration. Sasa haitakuwepo concentration. Hivyo Cu na Ag havitaweza kuwa extracted kwa faida.
Nini maana yake?
1) Ag itabakia kwenye tailings za mgodi, na haitachenjuliwa tena na kuuzwa
2) Cu itabakia kwenye tailings, haitachenjuliwa wala kuuzwa tena
3) Fine Au 20% itabakia kwenye tailings, na haitaweza kuchenjuliwa tena. Ifahamike kuwa mgodi wa Buzwagi average grade per tone ni 4g. Ina maana 20% ya average grade ni 0.8g/t.
4) Contractor wa usafirishaji makinikia na wafanyakazi wake, mambo yameishia hapo
5) Vituo vya mafuta mapato yake yatapungua
6) Mapato ya bandari yaliyohusiana na usafirishaji wa concentrates yameishia hapo
7) Kodi iliyokuwa ikitokana na mauzo ya concentrate ya Au-Cu-Ag, yameishia hapo.
8) Hakutajengwa kiwanda cha kuchenjua concentrates
Tulichoongeza ni royalty ya gold bar, na furaha ya moyo kuwa hatuibiwi kwa sababu sasa dhahabu inayozalishwa tutaiona kwa macho yetu, haipo katika mwonekano wa mchanga.
Nimeamini mwenye akili hakosi jibu. Wakati wote huwa na jibu la kukabiliana na mazingira yanayomzunguka. Mjinga unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana
Haya....kauguze nairobi, au tafuta majukwaa ya press conferenceEndelea kujifariji na CCM wenzako
Juma kaondoka kulee !Good news!!
Ila nauliza washatoa mchango wa matibabu kwa ajili ya mtetezi wao Antipas?
.....hao ni mpaka Lissu aseme !Hebu jielekeze kwenye taarifa ya uzalishaji acha kulalamika tu.
Huo ni uthibitisho kuwa mchanga una dhahabu nyingi sana kama professor Mruma alivyobainisha
Ni upumbavu kutetea kitendo cha Rais kufunfisha watu kukwepa kodi! Ni upumbavu zaidi kutumia kigezo cha unyonge wa mkulima! Mkulima anayezalisha zaidi ya tani 1 ana unyonge gani? Yaani hata mkulima anayezalisha tani 100 naye ni mnyonge? Kwa kifupi mkulima hata akizalisha tani 1000, kwa maelekezo na mafundisho ya Magufuli ataweza kukwepa kodi kwa kusafirisha mzigo kidogo kidogo. Halafu wewe unaona sawa? Neno pumbavu ni stahili yako kabisa.Nyumbu sikulaumu, ndio uwezo wa kufikiri ulipofikia.
Tutakutana 2020
Dua inafanya kaziHaya....kauguze nairobi, au tafuta majukwaa ya press conference
Duwa ya kumuomba mtu !Dua inafanya kazi
CCM lazima mtatajana safari hii.Duwa ya kumuomba mtu !
Mbowe ndo anakazi ya kutaja !CCM lazima mtatajana safari hii.
Mkuu tatizo huna mkiaMbowe ndo anakazi ya kutaja !
Nina dushelele tu !....unataka kujisevia ?Mkuu tatizo huna mkia