Statement: Positive results from Buzwagi processing trial

Ni matokeo ya wapinzani kuliibua hilo bungeni na nje ya binge,hatimaye hongera ya udhubutu wa ufuatiliaji na ukamataji wa serekali ya sasa.
 
Hakuna kilicho zidi....bado mapato yapo chini sana kuliko ilivo kuwa kabal ya makinikia ban.
Baada ya kugundua uwezo wa kusagishia angalau ile 65% ya mapato ambayo inatokana na makinikia wataikoa kwa gharama nyengine.
Na hii haithibitishi kuwa kiwango cha dhahabu sio kikubwa kama kilivo tajwa kwenye ripoti za makinikia.
Pia uzalishaji na mapato ya serikali yataongezeka mara mbile kuliko sasa na kipindi chote cha zuio.

Hii ina maana hakuna ongezeko na hali ya uzalishaji na mapato hayatakua kama mwaka jana kurudi nyuma.

Hakuna cha kufurahia kwani hii ni dhahiri ripoti za makinikia zilidanganya umma juu ya uwepo wa dhahabu nyingi kwenye mchanga jambo ambalo sio kweli ni uongo wa mchana
 
Hii process of extracting gold inaitwa Gold cyanidation. Inatumia cynide ambayo ni highly toxic katika kuextract gold from makinikia. Naona wameamua kuachana na mchanga/makinikia na kujikita kwenye kupata dhahabu zaidi. Labda kwenye kusafirisha dhahabu hakuna kelele
 
Cynide imekuwa ikitumika kwa miaka mingi katika uzalishaji wa dhahabu ( extraction of Gold). Hata hivyo, kwa kutambua kwamba cynide ni sumu na ni hatari kwa mazingira na maisha ya binadamu Kamati ya Wadau mbalimbali (Multi-stakeholder steering Committee) chini ya UNEP (United Nations Environmental Program) waliandaa the Cynide Code kwa ajili ya uzalishaji wake, usafirishaji na matumizi ya cynide katika uzalishaji wa dhahabu. Mojawapo ya signatories wa hii code ni Acacia Mining PLC. For more information visit www.cynidecode.org
 
Sikuhizi hawaiti hawa jamaa majizi, sijui prof mwiba alimwambia shika adabu yako!
 
Back
Top Bottom