Statement: Positive results from Buzwagi processing trial

Kwahiyo serikali itakosa mapato yatokanayo na silver na copper, serikali imeingia cha kike asubuhi saa nne.
Soma taarifa vizuri...mbona mnapenda kuskia mabaya tu yakiipata serikali ya Tanzania hivi mmezaliwa Kenya au Uarabun? kwa ufupi mwizi ameshkwa pabaya tumia jicho la tatu kuiptia hiyo taarifa ukweli ni kua makampuni ya Madini yalikua yanatuibia na mawakala wao ambao wengine ni Watanzania wenzetu wasiolipenda Taifa letu ambao wengine baada ya awamu hii waliamua kuhama nchi...haya makampuni bado wanatakiwa kudhibitiwa vizuri
 
Mzgo uliokua unafichwa katika Maknkia naona wamesalimu amri imebidi wauzalishe uonekana baada ya wizi wao kushtukiwa...lazima wanyooke walipe kodi na waache utoroshaji wa madini kwa kigezo cha Maknkia
Ni hivi zamani walikuwa wanaprocess kiasi kidogo cha dhahabu hapa nchini, halafu sehemu kubwa inauzwa nje kama makinikia lakini ndani yake ni dhahabu. Ndio sababu wameyumbwa kibiashara kutokana na zuio la makinikia wakati pamoja na kwamba wanaendelea na uuzaji dhahabu kama kawaida. Yaani Makinikia yalikuwa na faida kubwa zaidi kuliko dhahabu. Maajabu!
Make my words…Kama sio mwishoni mwa mwaka huu, mwanzoni mwa 2018 utasikia ACACIA wanajenga smelter hapa Tanzania.
 
Soma taarifa vizuri...mbona mnapenda kuskia mabaya tu yakiipata serikali ya Tanzania hivi mmezaliwa Kenya au Uarabun? kwa ufupi mwizi ameshkwa pabaya tumia jicho la tatu kuiptia hiyo taarifa ukweli ni kua makampuni ya Madini yalikua yanatuibia na mawakala wao ambao wengine ni Watanzania wenzatu wasiolipenda Taifa letu ambao wengine baada ya awamu hii walaiamua kuhama nchi...haya makampuni bado wanatakiwa kudhibitiwa vizuri
Wewe hujui kitu kuhusu hili. Tuhoji hela yetu ya kopa inalipwaje. Tuwaulize
 
Make my words…Kama sio mwishoni mwa mwaka huu, mwanzoni mwa 2018 utasikia ACACIA wanajenga smelter hapa Tanzania.
Pia serikali ina mpango wa kujenga. ..Acha wajenge uko ndan kutakua na vyombo vya Ulinzi vya kukagua na pia watatoa ajira...vile vile nchi jirani zitatumia kuchakata madini yao hivyo mapato ya serikali yataongezeka
 
Badala ya kuzalisha kopa, silver na dhahabu kama walivyokuwa wanasema, sasa wanazalisha dhahabu na silver tu. Kopa yote wanatupa, je nani amepata hasara. Umejiuliza hili swali.
Unaposema "kutupwa" inaweza kujenga picha tofauti! Makanikia haya ozi au kupungua, hata miaka 100 ijayo tunaweza kupata hayo madini yaliyopo ndani yake!
 
Unaposema "kutupwa" inaweza kujenga picha tofauti! Makanikia haya ozi au kupungua, hata miaka 100 ijayo tunaweza kupata hayo madini yaliyopo ndani yake!
Hawazalishi tena makinikia, bali ni miche ya dhahabu ambayo ina na silver. Je umejiuliza kopa inaenda wapi
 
Kwahiyo serikali itakosa mapato yatokanayo na silver na copper, serikali imeingia cha kike asubuhi saa nne.
You need to look on the big picture. Mfano, Ni bora kupewa shilingi moja sasa hivi na kuonwa mjinga au husubiri miaka miwili au mitatu upate shilingi 100!
Hakuna kinachopotea katika hayo makanikia!
 
Mzgo uliokua unafichwa katika Maknkia naona wamesalimu amri imebidi wauzalishe uonekana baada ya wizi wao kushtukiwa...lazima wanyooke walipe kodi na waache utoroshaji wa madini kwa kigezo cha Maknkia
ahsante lissu, ulisema yote haya lakini ukaishia kupigwa risasi. hatuibiwi kwenye matope Bali kwenye dhahabu yenyewe na mikataba mibovu tuliyoingia wenyewe.
 
Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.

Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.

Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.

Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.

Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
Bora ukae kimya kama hujaelewa kuliko kutoa lawama zisizo na tija wakati huu....
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom