Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,326
- 92,507
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kwanza wewe ni mpumbavu, kilaza na limbukeni wa hali ya juu, hii habari ipo online halafu unajifanya wewe sijui uliongea na nani mzushi mkubwa wewe, na Hillary Clinton anakuja Tanzania je huyo rafiki yako amekwambia?
Link ya hiyo habari ni hii hapa US warns Tanzania over impact of Serengeti road - Times LIVE