State department wanavyom-value JK

State department wanavyom-value JK

Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

I hate JK yes with all my heart, with all my soul, with all my mind.
But I wouldn't like a foreigner to show me how to hate my stupid president.
My patriotism guide me to throw ten punches on any foreigner talking ill of my country and/or not only a president but any TZ citizen.
I believe and yes strongly believe that I can through away this stupid leadership without a support of any foreigner. Because you may not know their motive behind their black curtains!!!!!
 
tafuta maneno ya kuwaambia watu sio utetaji wa watu wewe mwili wako haunuki ? kama watu wataanza kujadili harufu ya mwili wako itakuwaje? kisha maoni ya kila mmoja kisa tu yuko state yawakilishwe itakuwaje? unajua kaingiaje hapo state unapopazimia kiasi ukiongea na rafiki yako mmoja unasewasemea wote?
msitupotezee muda na saikolojia za kumtukana mtu ili hasira zishuke, kila mtu ana makosa yake na mapungufu yake, wacheni umbeya mbona nahisi nyie ni wanaume? "sasa mbona tabia za kike kike sana tena wamitaani ambao humsifia yule tu aliempa fedha nyingi" leteni thread za kuelimisha na kutoa challenge bwana na haya mengine waambieni wake zenu mkikosa pointi za kuwachekesha!

Heshima yako mkuu. Ni vizuri kuwa sensitive kwenye gender za watu pia na sio race, age, au nationality peke yake. Kwa mtizamo wangu maneno yako uliyotumia kumwelimisha aliyeleta topic yemeishia kuwa kero. Kutokana na post yako mtu anaweza kukusoma na wewe "psychologically" unawadharau wanawake. Kumbuka mtu hazaliwi na tabia , anajifunza so I do not see the point of labelling "tabia za kike kike" Tuna mama, dada, wake etc ambao hawana tabia hizo; so let us not be too general like that. However I second your opinion "tulete thread za kuelimisha; ukitaka mtu ajielimishe/aelewe unatumia clean sentences kumuelimisha mkuu. Lakini pia wake zetu ni wasomi pia na- kama sio wasomi tuwaelimishe kwa mada muhimu wao sio wakuambiwa nonsense/garbage either.
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Nadhani state department wapo pia cleaners ambao mawazo yao sio mawazo ya kiofisi ya serikali ya marekani . na wana uhuru wa kutoa maoni. But Yes kikwete is weak. Ila Nadahni Mwinyi alikuwa weak zaidi. So kikwete anaweza kujivunia kwa hilo teh teh teh teh

So mtu asikmwamba yuko state department ukadhani ni mtaalama sana. Sio kila anayefanya kazi Wizara ya mambo ya nje ni diplomat na sio kila anayefanya kazi ikulu ni mtu wa system. Angalia usiibiwe

Wamerakani wanampenda kikwete, Mkapa kuliko walivyompenda nyerere.

State Department ofisi zao ziko wapi NY?

Angalia usije kuwa umeongea na mtu anafanya kazi "New York State, Department of State" ukafikiri umeongea na mtu wa"US State Department"

Bora hata iwe hivyo mimi wasi wasi wangu labda mtu mwenyewe ni driver . Sasa kama foreign driver anajijua politics za nchi yao kukuzidi hata mzawa basi mweye tatizo ni nani ????

Huyo jamaa yako ni msemaji wa ikulu au mambo ya nje wa marekani au mfakazi wa kawaida (mfagizi)? Does it make sense kusema kuwa ni state department wakati ni mawazo ya mtu mmoja tu tena ambaye ni rafiki yako?

No, siyo kama napingana na ukweli ulioko kwenye taarifa uliyotujuza ila chanzo chake na ulivyokikuza kukipa uzito wa juu kuwa ni wa department nzima.... hapo ndo nimetatizwa.

Unajua sisi wabongo ni watu ambao wakati mwingine tuna tatizo la uelewa mdogo sana. Unakutana na mtu ana-pose kwamba ni mtu wa State Department then unaanza kumnukuu na kupotosha kwamba ni msimamo wa State Department, wakati huyo jamaa yako ni mesenja tu na inawezekana na yeye akisikia mtu mmoja aki-express maoni yake binafsi. Kwa taarifa yako, kuna watu marekani ambao mpaka leo wanaamini Obama hana sifa ya kuwa rais wa Marekani na wanamponda kinoma. Ni bora ukaacha upotoshaji wa namna hii katika thread zako na uache kuhusudu wazungu kwa vitu vya kitoto. Umeambiwa wazungu huwa siyo waongo, wafinyu wa uelewa au wapumbavu? Kwa taarifa yako huyu mzungu wako uchwara anawakilisha maoni yake binafsi na hana nafasi ya kupima maoni ya wamarekani wote au wale walio katika utawala.
 
..wenye makosa ni wale wanaomu-expose "Raisi wetu" in the international arena.

..mfano mdogo ni ule mkutano wa IMF/WB uliofanyika BOT ambapo Raisi wetu alishiriki kwenye mdahalo na kina Dr.Kaberuka,Dr.Iwelea Ikonjo, Trevor Manuel, na Dominic Strauss.

..tatizo ni kwamba Raisi alishindwa hoja na akaishia kucheka-cheka na yule mwanadada Isha Sessay moderator wa CNN huku akimuahidi kumpa zawadi ya madini ya tanzanite.

..when Americans had Ronald Reagan, and they took extra care in preparing him before any public appearance.

..wa-Tanzania tunampeleka tu Raisi wetu kila mahali, tena wakati mwingine hatuna hata huruma naye kwamba hali yake kiafya au yuko ktk mfungo wa Ramadhani na kwamba umri umekwenda, kama ilivyojitokeza Mwanza na Jangwani.

..mnaoendelea kumsakama mtoa hoja hamsaidii kitu. labda mngemuelimisha kwa kumpatia "pointers" au "talking points" za kumtetea Raisi wetu kwa hao foreigners wanaomkandia.
 
Huyo jamaa yako ni msemaji wa ikulu au mambo ya nje wa marekani au mfakazi wa kawaida (mfagizi)? Does it make sense kusema kuwa ni state department wakati ni mawazo ya mtu mmoja tu tena ambaye ni rafiki yako?

No, siyo kama napingana na ukweli ulioko kwenye taarifa uliyotujuza ila chanzo chake na ulivyokikuza kukipa uzito wa juu kuwa ni wa department nzima.... hapo ndo nimetatizwa.

jamaa sio ofisa wa ngazi ya juu ila the way tulivyozungumza nae ni likely view ya wengi wao iko hivyo!! najua ni chungu kumeza ila sukumia na juice itamezeka!!
 
Unajua sisi wabongo ni watu ambao wakati mwingine tuna tatizo la uelewa mdogo sana. Unakutana na mtu ana-pose kwamba ni mtu wa State Department then unaanza kumnukuu na kupotosha kwamba ni msimamo wa State Department, wakati huyo jamaa yako ni mesenja tu na inawezekana na yeye akisikia mtu mmoja aki-express maoni yake binafsi. Kwa taarifa yako, kuna watu marekani ambao mpaka leo wanaamini Obama hana sifa ya kuwa rais wa Marekani na wanamponda kinoma. Ni bora ukaacha upotoshaji wa namna hii katika thread zako na uache kuhusudu wazungu kwa vitu vya kitoto. Umeambiwa wazungu huwa siyo waongo, wafinyu wa uelewa au wapumbavu? Kwa taarifa yako huyu mzungu wako uchwara anawakilisha maoni yake binafsi na hana nafasi ya kupima maoni ya wamarekani wote au wale walio katika utawala.

inauma eenhhh!! taka usitake jamaa kiazi!! au kule jeshini tunaita nanga!! jamaa mweupe mkichwa!!
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

CRAP CRAP CRAP CRAP.......Kichwa cha tikiti maji
 
Raia wa nchi ya kigeani, tena ya kibepari na kinyonyaji kama USA kumtukana raisi wa nchi yetu ni dharau kubwa sana. Usikubali mkuu hata kama anamadhaifu lakini yeye siyo wa kumwita like ......... Tena akome kabisa.
 
If the truth must be told,honestly your rumour mongering friend lacks both diplomatic qualities and traped in compromising his proffession kwa sababu ya urafiki.Je wewe ulifurahia tu?

Why do we feel the need to throw cheap insults at our president(s)? Americans I've met are not like that.Talk to an American. They respect their country and their leaders so much, even when it's not justified.

Huku nyumbani tumchane,lakini hawezi kutukanwa na Raia wa nje.Hiyo ni insult kwa watanzania wote

unachoshangaa nini rais kupewa za uso!? Kamuulize kanye west kuhusu bush jr? Obama mwenyewe dizain wameanza kumpotezea japo walimuona kama mkombozi wao. Kwahiyo kuhusu JK kunekana "upepo" huko ughaibuni si shangai.
 
If the truth must be told,honestly your rumour mongering friend lacks both diplomatic qualities and traped in compromising his proffession kwa sababu ya urafiki.Je wewe ulifurahia tu?

Why do we feel the need to throw cheap insults at our president(s)? Americans I've met are not like that.Talk to an American. They respect their country and their leaders so much, even when it's not justified.

Huku nyumbani tumchane,lakini hawezi kutukanwa na Raia wa nje.Hiyo ni insult kwa watanzania wote

Ben unachosema ni kweli kwamba Jk ni rais wetu pamoja na udhaifu na mapungufu aliyonayo hivyo tujitahidi kumsetiri. Kwa upande mwingine hatuna namna ya kumsaidia kwani yeye ndiye anayejipeleka huko ili atuaibishe. kila kukikucha haachi kwenda Marekani na haachi kujisifia kuwa katoka Marekani. Nani anamtuma huko kila mara? kwa upande mwingine Jk hatusikilizi sisi wananchi wake bali anawahusudu hao Wamarekani.
 
Tunatumia akili na muda kufungua threads, ukikuta ni ujinga , tena mzungu anamkashfu kiongoz mku wa nch yako unatangaza ¥%§*¤ pumbav au uliomb pesa. Dnt repeat
 
Ameshasema pamoja na uchungu mezeni kwa kusukumia na juice:biggrin1:
 
Msimlaumu mtoa hoja na kumtetea raisi wenu wa ccm,lifanyieni kazi tatizo lililofanya mpaka atukanwe.Jaribuni kuweka usawa kwa pande zote"mwizi unamchukulia Kama mwizi tu
 
Wewe ni mjinga namba moja kwa kukubali kuona Rais wako anatukanwa na unachekelea tu na mbaya zaidi watuletea humu ndani.
i have a hunch kuwa waweza kuwa umepika habari hii...this is too bad kwa kweli.
hata kama humkubali ila level hii naomba watanzania tuipinge.

Mbona anatukanwa hapa JF kila siku na sijawahi kusikia mtu analalamika? Au kwa sababu imesemekana kwamba aliyesema ni mmarekani? Hapa suala la msingi ni je kuna ukweli wowote katika hiyo statement? Tusikimbilie kusema ametukana ilhali amesema ukweli wake!!!!

Tiba
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ni judgement nzuri!
 
hivi kuna haja ya kuwa baba ambaye kila siku iendayo ni kukupa matumaini mwanae hata pale ambapo wewe mwenyewe hujaomba kitu ,akija tu ,,,,,,ndiyo mwanangu nitakununulia reli,nitakununulia meli.....nitakununulia fry overs......nitakununulia vituo vya afya ......nitakununulia shule ya jirani ,,,,,nitakununulia usafiri wa kwenda kasi............JAMANI TUMECHOKA EMBU WE KIKWEEETE SASA NI MUDA WAKO WA KUKAA CHINI NA KUTEKEREZA MOJA BAADA LA LINGINE HATUTAKI UONGEEE TENA KAMA AMBAVYO MWEZI ULOPITA UMEPITISHA
 
Are you happy your President being insulted and without shame you published it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kwa kusoma ujumbe wake mimi naona alikuwa anatoa taarifa tu, sijaona kama amefurahia au la,pia ame-publish habari kwa nia ya kujuza wengine licha a kuwa wapo watakaoipenda na wengine watakereka kama wewe!
 
Back
Top Bottom