State department wanavyom-value JK

Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

There is nothing constructive and/or informative here. Gossip JF.
 
Hivi watanzania tumelogwa nani, mbona ni wa haraka kusahau? si juzi juzi tu mteule wa JK Dr. Hosea alimtuhumu nini JK ktk wikileaks, alikuwa mbea huyu. Nani mzalendo hapa mtz au mmarekani.
Halafu haya ni maoni ya mtu yaheshimiwe la sivyo prove vyenginevyo.
 
Are you happy your President being insulted and without shame you published it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sometimes telling the truth may be equated to insults, but the truth will still remain to be so. The guy is entitled to his opinion regardless of his job, awe ofisa, mfagiaji, tarishi or whatever. By the way, who cares what others think about our president, who cares about what we think of Obama.

We are not so stupid not to know what kind of president we have, we know more than what he commented.
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

I don't think so.......mtu wa state department hawezi kuchat kwenye email upuuzi kama huo. Wenzenu wanajua consequences za mambo kama hayo kwa USG kama ikitoka nje.. I presume ..ulikuwa unchat kwenye yahoo mail na janitor wa pale ubalozi Dar ambaye alikuwa na bad mood ya mwisho wa mwezi....wapelekee gazeti la uwazi..
 
Marais wao wana nini. Bush junior ameua watu wasio na hatia huko Iraq na Afghanstan, Obama nae anafanya yale yale ya Bush.

Baba au mama yako wakiwa wana matatizo, ni jukumu lako kuhakikisha unarekebisha matatizo yao kwa njia mbali mbali. Ila wakitokea watu wa nje na kuanza kuwadharau mbele yako unatakuwa ujue hata wewe anakudharau. Usikubali
 
Dah,ama kweli wapuuzi wamejaa humu .hivi hao wamerikani ndo miungu wetu ama?manake we tanga unadhani kila ukimpaka jk ndo frustration
zako zinashuka.POLE.ila nikutaarifu HATAGOMBEA TENA uchaguzi
ujao kwahiyo YOU hitting the wrong target.
 
It's true he is incopetent President! but it's unfair to insult him.
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Might be true....but very difficult to verify, may be we need to see the whole conversation...
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ndo tatizo la kuwa taahira. Toa kinyesi chako hapa.
 
I don't think so.......mtu wa state department hawezi kuchat kwenye email upuuzi kama huo. Wenzenu wanajua consequences za mambo kama hayo kwa USG kama ikitoka nje.. I presume ..ulikuwa unchat kwenye yahoo mail na janitor wa pale ubalozi Dar ambaye alikuwa na bad mood ya mwisho wa mwezi....wapelekee gazeti la uwazi..

Naona hujamuelewa mtoa mada, mie nimeelewa kuwa walikuwa wanabadilishana emails na siyo kuchat kwa email as u think. So they had verbal communication.
Mie binafsi simwafiki kikwete anapotupeleka hivyo siwezi kumtetea kamwe even if i m a good ccm.
 
Wewe ulikubaliana naye huyo jamaa ya kwamba anachokisema ni cha kweli?

Na kama wanaona rais ndo yuko hivyo si mara kwa mara huwa anaenda kwao kwa nini wasimwambie wao wenyewe? Kulikuwa na ulazima gani wa kumtukana kupitia wewe na wewe bila soni ukatuletea jamvini?

Kuhusu barabara, sijafanya na wala sijaona taarifa inayoelezea madhara ya kimazingira kutokana na kujengwa kwa hiyo barabara, lakini swali langu kwa watu wanaopinga ujenzi wa hiyo barabara mbona ya morogoro kwenda Iringa imekatiza mikumi na wanyama wameshazoea, hiyo ikakatiza serengeti hao watu wana ushahidi gani kwamba wanyama hawatakatiza kwenda kenya?

Mimi kwetu ni Magu kijiji ambacho kiko karibu sana na Serengeti, huwa kuna kipindi ambacho maji ni ya shida kwenye hifadhi wale wanyama wanakatiza barabara ya lami ya Mwanza Musoma kwenda kunywa maji ziwa victoria na nakumbuka miaka ya nyuma walikuwa wanaingia hadi vijijini wakati huo maeneo ya vijijini hayajafyekwa kwa ajili ya kilimo.

Masuke Baelezee Mkuu!!!

Kama hatujafahamu hii ni janja ya Kenya tu maana kama wanyama watashindwa kuvuka kwenda huko Maasai Mara itakuwa haina wanyama kabisaa!! Eti na baadhi ya WaTZ tumeingia kichwa kichwa kutetea eti uharibifu wa Mazingira hebu waishie huko bwana!! Ni mnyama gani atakayeshindwa kuvuka barabara yenye upana wa mita 20? Na ninachosikia ni kuwa ndani ya mbuga kwenyewe haitakuwa na lami isipokuwa itakuwa ya vumbi sasa hiyo kweli itazuia wanyama kuvuka?

Wamarekani sijui nao wana maslahi gani na hii mbuga mpaka wanataka kumtuma huyo mama yao eti kuja kumshinikiza Kikwete barabara isijengwe?

Bwana Masuke mpaka leo hii wanyama mle Serengeti wanavuka barabara ya lami kwenda kunywa maji Ziwa Viktoria, huko ulikosema unatokea ndo na mimi ni nyumbani kwetu nenda kule Nyatwari uone wananchi wanavyopishana na nyumbu, pundamilia, swala n.k. Hayo mazingira yanayozungumzwa sijui ni ya aina gani!?
 
HATA DUDE LA TAKA LIKIKAA SANA BILA KUMWAGA LINANUKA HADI KWA MAJIRANI...Sasa huwezi kumwambia jirani usiniseme ati dude langu la taka lanuka, kwa sababu ni langu. Wa nyumbani kwangu tu ndo wanaruhusiwa kusema, how now!?!!!!!
 
Guys, Mdau katoa changamoto. Ifanyieni utafiti muone kama je, ni kweli raisi wetu looks like a fool huko mbele? na kama ndio, nini kifanyike? Sio maramoja humuhumu JF watu wanalalamika prezdaa sio compitent..kashindwa nchi..nk. Mnategemea wazungu wasione kama nyie mmeona? Hata kama haiwahusu wazungu ila macho wanayo na ndio maana wanamng'ong'a. Kama wanasababu ya kumng'ong'a na ni sababu za ukweli wacha wafanye hivyo. Ndo matunda ya uchaguzi wetu. Tusitetee utaifa unapofanyika upuuzi. we need to take responsibilities where necessary.
 
If your country has a stupid president why shouldn't you publish his short-comings?

nakuunga mkono mkuu. rais wa hovyo ni wa hovyo tu, lisemwe na watu wake au na watu wengine halibadilishi ukweli kuwa huyo ni wa hovyo. hakuna haja ya kudanganyana kwenye hili
 
Back
Top Bottom