Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Ni wiki ya pili Sasa sijaangalia East Africa got talent kupitia clouds...... Wameitoa tena bila taarifa wamenikera. Naenda kununua Tena Azam pambafu Sana mimi
 
Wachina wanasema tokea wamefunga hiyo mitambo wanapata hasara wacheni wapandishe bei ili nao waanze kupata faida
 
Wachina wanasema tokea wamefunga hiyo mitambo wanapata hasara wacheni wapandishe bei ili nao waanze kupata faida
Wanapataje hasara wakati walitumia mitambo ya tbc?halafu pia kuna taarifa kuwa toka wameanza 2012 hawakuwahi kulipa kodi hadi 2018 ndo wameanza
 
Mkuu kweli unapoteza muda na startimes? Mastation wamejaza ya kichinatu. Alafu bei za vifurushi vyao ghali sana. Bora Dstv na Azam tv.
 
Write your reply...Tatizo langu ni channel zinazoonesha kwangu ni chache lakini kwenye dekoda za wengine chanel ni nyingi na vyote ni aina moja ya startimes pia nimesearch zaidi ya mara 2.naishi tabata,smartcard no 02035029723.Nisaidien kuzirudisha jamana

.
 
Leo king'amuzi chenu kina shida gani? Baadhi ya channel hazipo hata hiyo st guide sioni chochote
 
Back
Top Bottom