Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

  • Thread starter StarTimes Tanzania
  • Start date
StarTimes Tanzania

StarTimes Tanzania

Verified Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
176
Points
225
StarTimes Tanzania

StarTimes Tanzania

Verified Member
Joined Jun 11, 2013
176 225
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
 
Last edited by a moderator:
StarTimes Tanzania

StarTimes Tanzania

Verified Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
176
Points
225
StarTimes Tanzania

StarTimes Tanzania

Verified Member
Joined Jun 11, 2013
176 225
Ndg habari
Mimi nina kisimbuzi kile cha zamani lakini kwa bahati mbaya hakikusajiliwa hicho na kadi pia hailusajiliwa kina muda kama miaka 4 kipo ndani hakitumiki ivi majuzi nikatembelea ofisi zenu hapa Moshi ili kukisajili wakaniambia hawasajili visimbizi vipya kama nataka nitoe 62000 elfu ili wakisajili ikanibidi kuwasiliana na watoa huduma wenu wakanipa maelekezo jinsi ya kukisajili kwa simu lakini sikufanikiwa nikamsalimia simu nakuwafahamisha wakaniambia nitapigiwa simu mpaka sasa ni wiki ya 2 sijapigiwa simu
Je naweza kusaidikaje katika hili
habari yako, tafadhari tupatie namba yako ya mawasiliano.
 
minji

minji

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Messages
1,853
Points
2,000
minji

minji

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2016
1,853 2,000
Jaman mnatuchosha kurudia yamthilia zile zile,tamthilia ikiisha mnairudia tena mnaboa sana badirikien 3 side of ana toka na mimba mpk sasa mtoto aba miaka 2 mnairudia mnabadir chanel tuu
 

Forum statistics

Threads 1,313,889
Members 504,678
Posts 31,807,282
Top