King'amuzi changu cha startimes kile cha antena kina wiki sasa nikiwasha inawaka taa nyekundu tu ma hakuna kinacho onekana kwenye screen kinacho ihusu startimes ila taa nyekundu inawaka tu. Sababu nilikuwa nimekiacha bila kuwasha sasa nlipo kiwasha ndio nikakutana na hali hiyoHabari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Low signalSina ham nao hawa jamaa. Nilijiona bingwa wakat nanunua kumbe cha Kike. Michanel yao hovyo, scratch chungu nzima, yani hovyo hovyo.
Umelipwa shilling ngapi?Hakuna kampuni ya VISIMBUSI yenye kujali wateja wake na ya gharama nafuu yenye kukidhi hali ya MTANZANIA wa hali ya juu ya kati na ya chini kama STARTIMES.