Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Mbona clauds hatuioni kwenye antena?nilikuwa na DSTV je nikitaka kutumia dish natakiwa kubadili LNB?
 
King'amuzi changu cha startimes kile cha antena kina wiki sasa nikiwasha inawaka taa nyekundu tu ma hakuna kinacho onekana kwenye screen kinacho ihusu startimes ila taa nyekundu inawaka tu.

Sababu nilikuwa nimekiacha bila kuwasha sasa nlipo kiwasha ndio nikakutana na hali hiyo.
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
King'amuzi changu cha startimes kile cha antena kina wiki sasa nikiwasha inawaka taa nyekundu tu ma hakuna kinacho onekana kwenye screen kinacho ihusu startimes ila taa nyekundu inawaka tu. Sababu nilikuwa nimekiacha bila kuwasha sasa nlipo kiwasha ndio nikakutana na hali hiyo
 
Sina ham nao hawa jamaa. Nilijiona bingwa wakat nanunua kumbe cha Kike. Michanel yao hovyo, scratch chungu nzima, yani hovyo hovyo.
 
Hawa customer care jibu Lao ni moja tu, hawataki usumbufu "Huduma itarudi baada ya dakika 15"

Hilo jibu ndio nitolee, ukipiga tena mwingine anatoa jibu hilohilo.
 
Siku ya ratu Leo hatuwapati vizuri kabisa,mara Ina scratch mara no signal mara no service mara recharge wakati una kifurushi hai ili nradi vurugu tupu
Hii kwa maeneo mengi Sinza Tandale na Magomeni. Tufidieni muda wetu kama mtakuwa waungwana
 
TBC 1 hakuna sauti yapata mwezi sasa hebu nipatieni ufumbuzi juu ya hili sauti irudi kama kawaida
 
Hivi star times hamna mpango wa kuturushia Mpira live? Vodacom premier league twaenda kwa majirani wenye Azam, AFCON inatupita na mnatulipisha vifurushi vya bei ya juu tofauti na huduma tuipatayo.

Wahujumu uchumi wakubwa.
 
Hakuna kampuni ya VISIMBUSI yenye kujali wateja wake na ya gharama nafuu yenye kukidhi hali ya MTANZANIA wa hali ya juu ya kati na ya chini kama STARTIMES.
Umelipwa shilling ngapi?
Hivi Star times utawafananisha na Azam? Sisi tunaotumia dishi twalipa 18,000/- ndo kifurushi cha chini.

Bado wapenzi wa Mpira hatuoni ligi ya tz wala Afcon zote tunaenda kucheki kwa majirani wenye ving'amuzi vyenye tija. Nishapasua decoder yenyewe sitaki upuuzi Mimi.
 
Naomba muweke mfumo ukipa hela aina ya kifurushi inabadilika automatic.....inacost sana mtu unalipa elfu6 yako zen channel siku 15tu unapewa. Maboresho please
 
Channel za ndani local chanel nazo tunauziwa mbona Azam Ting na Continental na vingamuzi vingine tunapata bure kwanini startime tuuziwe tunaachiwa Tbc 1 hizi nyingine zimekuwaje au ndo kutuweka lupango hakuna uhuru jamani hata kwenye taarifa why?
 
No ya kadi ni 018 1938 4190. Nimekuwa nacharge tsh 9000 nilivyoelekezwa na mtumishi wenu mwenye simu no 0769025898. Ila nashindwa kuelewa muda wa kifurushi ni siku ngapi. Mfanyakazi huyu aliniambia ni mwezi mmoja. Lakini kila mara baada ya wiki 2 au 3 kifurushi kinaisha. Nashindwa kujua tatizo ni nini?

Na sasa hata hiyo no ya simu nikipiga naambiwa haipatikani. Mf niliweka kifurushi mara ya mwisho tarehe 8 March 2017 nikaambiwa kifurushi kitaisha tarehe 5 June.

Lakini tangu wiki iliyopita kama tarehe 19 kifurushi kilishakata. Ndo nafanyaje maana sasa naenda kwa majirani kutafuta habari.
 
Nipo buza tanesco temeke DSM king'amuzi no 02139150556-3 ni cha dish,kilionyesha no service niliwaita mafundi wenu wakalekebisha baada ya siku tatu imekata tena inaonyesha E01:No input signal

Nawapigia cm mnasema tatizo litashughulikiwa,sasa ni wiki ya tatu wale mafundi nawapigia cm wasema watakuja lkn kimya.je mmekuwa matapeli?.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom