Omulangi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 1,036
- 265
No ya kadi ni 018 1938 4190. Nimekuwa nacharge tsh 9000 nilivyoelekezwa na mtumishi wenu mwenye simu no 0769025898. Ila nashindwa kuelewa muda wa kifurushi ni siku ngapi. Mfanyakazi huyu aliniambia ni mwezi mmoja. Lakini kila mara baada ya wiki 2 au 3 kifurushi kinaisha. Nashindwa kujua tatizo ni nini? Na sasa hata hiyo no ya simu nikipiga naambiwa haipatikani. Mf niliweka kifurushi mara ya mwisho tarehe 8 March 2017 nikaambiwa kifurushi kitaisha tarehe 5 June. Lakini tangu wiki iliyopita kama tarehe 19 kifurushi kilishakata. Ndo nafanyaje maana sasa naenda kwa majirani kutafuta habari.
Mbona Kimya Star Times vipi hata hapa JF nako hakuna msaada???