Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

01837538578 namba ya kadi
Kifurushi kimeisha muda wake chanel zote zimekata hata hiyo TBC tuliyoambiwa ni bure haipatikani
 
Nakumbuka mwezi uliopita mlitangaza kuuza visimbuzi local chanel tu kwa shs 79000 hilo zoezi mmefikia wapi
 
Nashukuru wapendwa Startimes kwa kunirejeshea hizi local channels, lakini nashangaa Clouds tv ambayo ni miongoni mwa local channels hamjanifungulia kulikoni mbona mnafanya kazi kwa mitego? hebu nifungulieni bwana.
 
Mnazingua sana....king'amuzi changu hadi mvua inyeshe ndio kinaonyesha....nimekipeleka ofisini kwenu lakini wapi....mnazingua
 
Habari wote,
Mimi ninayo dish ya startimes na imekuwa muda mrefu sasa tangu tusikie friction yenu na TCCRA mapaka sasa hivi siwezi kuona channel yeyote ya Startimes,

Tumia namba yangu ya simu utapata namba yangu ya card ya startimes 0754970320,ninaishi Kahama vijijini.

Pia hizo namba zenu za huduma kwa wateja ni bora mkaziondoa kwani hazina msaada wowote hazipatikani kabisa
 
Kwanini serikali imeamua kupeleka hivi channel's huko startimes kwenye matatizo
 
Yaani ninyi nawahama ni swala LA muda tu yaani huduma mbovu yaani TV naangalia usiku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…