Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Nyie startimes mmeagizwa na TCRA kuonyesha local channels free,sasa mnatulazimisha kununua decoder ingine kwa gharama ya tshs.54,000/= ili kuona channel hizo bure! Why msionyeshe free kwa vin'gamuzi hivihivi tulivokua navyo?

Mnatuongezea cost wateja unecessary ,why wakati tunanunua hivi vya kwanza hamkusema hayo ili mteja aamue.mi natumia kifurushi cha nyota na dish.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

habari yako

tunaving'amuzi vya aina mbili, vinavyotumia antenna na vinavyotumia Dish

vinavyotumia Antena viko vya aina mbili

kuna vile ukinunua unafurahia chanel zaidi ya 75 mwezi mmoja kinauzwa tshs 59000
na kuna vile ukinunua
unapata chanel 17 kwa muda wa miezi 7.5 vinauzwa tsh 34000 (kingamuzi na malipo humo humo)

vingamuzi vinavyotumia Dish

hivi vinauzwa TSHS 139000 pamoja na ufundi unapata na dishi lake
kama unadishi kinauzwa Tshs 96000


Ahsante


Hiki nakipataje kwa huku moshi ndugu
 
Naomba kufahamu, mimi nimtejawenu wa mwanzo kabisa nanatumia bado kile kingamuzi chenu cha mwanzo kabisa, nlikua nakitumia mwanza nimehamia moshi naambiwa nikanunue kingine kwamba vile vyamwanzo havishiki tena kama kiki tolewa eno kilipo kuwa mwanzoni!!!
 
Ila wabongo bhana

Ni miezi sasa imekatika hao jamaa hawajibu meseji ila bado mnakomaa tu kuuliza.
 
Rais wa wanyonge star times wanatunyongaa njoo utuokoe.
 
Back
Top Bottom