Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

  • Thread starter StarTimes Tanzania
  • Start date

StarTimes Tanzania

StarTimes Tanzania

Verified Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
162
Likes
64
Points
45
StarTimes Tanzania

StarTimes Tanzania

Verified Member
Joined Jun 11, 2013
162 64 45
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
 
Last edited by a moderator:
David Tito

David Tito

Member
Joined
Sep 6, 2018
Messages
7
Likes
6
Points
5
David Tito

David Tito

Member
Joined Sep 6, 2018
7 6 5
Startime mnaboa sana hasa kwetu wateja wenu tunaotumia dish maana kila siku bei zenu zinapanda nashangaa kuona kifurushi cha smart kwa sasa 21000/= wakati loca chanel mumeshindwa kufungu hata tbc imewashinda kuruhusu ionekane bure ,kazi yenu kututumia sms eti lipia uweze kuona mechi na mibei yenu ya ajabu wakati huduma zenu mbovu . Hakiamungu kuanzia leo nawahama mnazidiwa na Azam slyifungiwa kutoonesha local chanel ila bado tbc kwake ni bure namba ya card ni 01837512001 naombeni muifute au itengezeni upya mumuuzie mwingine maana mimi nimechoshwa na wizi wenu kwetu sisi watu wa hali ya chini.
 
LADYLUV

LADYLUV

Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
82
Likes
24
Points
15
LADYLUV

LADYLUV

Member
Joined Mar 22, 2017
82 24 15
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
king'amuzi changu kimeharibika sehemu ya kuchomeka antena naweza kubadilisha kingine au lazima kununua kipya na gharama zake zinakuwaje
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
22,219
Likes
5,436
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
22,219 5,436 280
Hawa jamaa wapo busy kuongeza tu Bei za vifurushi angali hawatoi taarifa Hadi mteja uwapigie
 
hajhmamba

hajhmamba

Member
Joined
May 15, 2018
Messages
12
Likes
3
Points
5
hajhmamba

hajhmamba

Member
Joined May 15, 2018
12 3 5
Startimes cwaelew nimejiunga 5000 kuangalia bss cku tatu limeisha c bora ninunue bando niingie ista hv nyie hamna ofa
 
Kajolijo

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
2,799
Likes
3,504
Points
280
Kajolijo

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
2,799 3,504 280
Ninyi startimes ni wa hovyo sanaaa haiwezekani mpandishe gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tu ....

Washeeeeeeenzi sanaaa ninyi ,
Natamani sanaaaa hata niwatukane matusi yaleee makubwaaaaa sanaaa sema nawaogopa mods....
wanababaisha sana, ule mkwara wa waziri naona ilikua nguvu ya soda. mm kingamuzi nlichonunua kikiisha wanakata hata TBC nkiwaambia wanasema watalishughulikia nimeamua kuachana nacho kabisa sitaki hata kukisikia
 
K

Katali

Senior Member
Joined
Nov 2, 2016
Messages
178
Likes
82
Points
45
Age
48
K

Katali

Senior Member
Joined Nov 2, 2016
178 82 45
Ninashaka hapa Kuna 10% hivi inakuwaje TCRA watoe maelekezo ya kuonesha local channel bure lakini hawa starTime wakaidi kwa maelekezo kwamba visimbuzi vya Dish havina mfumo huo! Hiki kiburi wamekipata wapi? Hivi ni kweli Nchi hii imeshindikana? Inawezekana wanamfuko mpana wa kuweza kuiweka nchi yetu mfukoni.
 
greatpolitician

greatpolitician

New Member
Joined
Dec 31, 2017
Messages
1
Likes
0
Points
3
greatpolitician

greatpolitician

New Member
Joined Dec 31, 2017
1 0 3
Vipi mbona huku marangu vingamuzi vyenu vimefungiwa na kiasi kikubwa watu ndo tulikuwa tunatumia aisee
 
davejillaonecka

davejillaonecka

Member
Joined
Oct 17, 2018
Messages
9
Likes
1
Points
5
davejillaonecka

davejillaonecka

Member
Joined Oct 17, 2018
9 1 5
YANI HAWA JAMAA (ST) NI JEURI SANA ISTOSHE WANADHARAU..hawajibu chochote
 
M2mwembamba

M2mwembamba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Messages
2,296
Likes
758
Points
280
M2mwembamba

M2mwembamba

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2014
2,296 758 280
zzzz, member: sßs nawezzzza kubadilishazz ßdssdsdsdsdsdsssßsdssddsßsdßßßsß au lazima kununua kipya na gharama zake zinakuwaje[/QUOTE]
 
Kyoombe

Kyoombe

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Messages
783
Likes
166
Points
60
Age
68
Kyoombe

Kyoombe

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2011
783 166 60
Kwa nini mmepandisha bei ya kifurushi cha Mambo kutoka 13k kadi 14k.? Huduma zenu ni duni halafu mnapandisha bei
 
G

Godfirst

Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
19
Likes
5
Points
5
G

Godfirst

Member
Joined Dec 7, 2017
19 5 5
sijawahi kufika sehem nikakuta tv yenye king'amuzi cha startimes ikawa imetulia inaganda ganda mno mpk raha ya kuangalia tv inaisha .Je hizo Ndio huduma mnazotoa kwa wateja wenu na mnawalipisha king'amuzi ili waangalie hiyo migando au mnaboa na mnkera tuna tv kwetu ila kwa King'amuzi chenu inabidi tu tulale kuliko kuangalia tv yaan mnaboa mnakeraaaa kwa huduma zenu zilivyo mbovu Ndio maana Azam wamewapiku jaman kule ni full Hd plus hakuna migando hata mvua kama ya nuhu inyeshe .hatutaki kuwalalamikia ila ijali thamanj ya hela ya mtanzania tupe kitu tunachostahili sio mnajua kupandisha bei huku huduma zenu ni mbovu.
Nawasilisha
 
goodfool

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
1,198
Likes
596
Points
280
goodfool

goodfool

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
1,198 596 280
HELLO, STAR TIMES. KING'AMUZI NIKI UPDATE CHANEL ZILIZOKUWEPO ZINAPOTEA NA ZINAKUJA MPYA, YANI MAMBO YA KUBAHATISHA. MNAJISAHAU.
 
orangutan

orangutan

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
771
Likes
689
Points
180
orangutan

orangutan

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
771 689 180
Aisee Star Times jiangalie sana suala la kupandisha bei ya vifuurushi vyenu otherwise watu tutawakimbia na kwenda kwenye huduma nafuu na bora sehemu nyingine. Vifurushi vinapanda bei kila siku wakati ubora wa huduma upo chini kupita maelezo. Eti sasa hivi kifurushi cha kawaida tu mnatutaka tulipie shilingi Elfu Ishirini na Moja (21,000) kwa mwezi. Hiyo si hela ya kulipia pango la nyumba kabisa! Halafu kifurushi kikiisha hata TBC Taifa huipati. Siwezi kumshauri mtu anunue madishi na antenna zenu. Upuuzi mtupu!
 
Kimalaunga

Kimalaunga

Member
Joined
May 31, 2016
Messages
69
Likes
26
Points
25
Kimalaunga

Kimalaunga

Member
Joined May 31, 2016
69 26 25
Mlisema mtaonyesha UEFA, mbona hakuna kitu? Kweli TZ shamba la bibi wajanja mnajivunia vyenu kwa ulaiiini
 

Forum statistics

Threads 1,237,059
Members 475,401
Posts 29,276,883