Kweli kabsaaa mkuu,,tupgeni kelele juu ya hili hawa mabwege kabsaaa utawala huu wataisoma namba.Startimes nanyi mlitakiwa kupew tishio la kufutiwa leseni
Mbna Chanel za bongo zote kweny king'amuzi Chen mmezima wakati TCRA walitoa agizo
Kweli kabsaa ngoja tuendeleee kupga mambo kwa mheshimiwa kama watazingua kuendelea wahame nchi.Mmeachia chanell ten achieni naizo nyingine acheni uhuni nyie startimes au mpka tugairi kutumia kingamuzi chenu ndio muamini, kifurushi kikiisha hamjazirudisha silipii tena
Tafadhalini Startimes wengine hamtutendei haki, mfano mimi king'amuzi changu chenye smart card na. 02035066969 hakioneshi kabisa chaneli zile za ndani zinazotakiwa kuoneshwa bila malipo isipikuwa TBC 1, lakini pia ninapolipia kifurushi cha mambo basi hunigharimu tshs 6,000/= kuangalia baadhi chaneli pamoja na hizo za ndani lakini baada ya siku 7 zinafungwa na kubakia TBC 1 tu.Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.