Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

01837538578 namba ya kadi
Kifurushi kimeisha muda wake chanel zote zimekata hata hiyo TBC tuliyoambiwa ni bure haipatikani
 
Nakumbuka mwezi uliopita mlitangaza kuuza visimbuzi local chanel tu kwa shs 79000 hilo zoezi mmefikia wapi
 
Tafadhalini Startimes wengine hamtutendei haki, mfano mimi king'amuzi changu chenye smart card na. 02035066969 hakioneshi kabisa chaneli zile za ndani zinazotakiwa kuoneshwa bila malipo isipikuwa TBC 1, lakini pia ninapolipia kifurushi cha mambo basi hunigharimu tshs 6,000/= kuangalia baadhi chaneli pamoja na hizo za ndani lakini baada ya siku 7 zinafungwa na kubakia TBC 1 tu. Je kuna nini hapa, kama mmenielewa naomba ufafanuzi wa tatizo hili na kama hakuna maelezo basi naomba mnifungulie hizo chaneli za ndani kama TCRA walivyoagiza, natanguliza shukrani.
Nashukuru wapendwa Startimes kwa kunirejeshea hizi local channels, lakini nashangaa Clouds tv ambayo ni miongoni mwa local channels hamjanifungulia kulikoni mbona mnafanya kazi kwa mitego? hebu nifungulieni bwana.
 
Mnazingua sana....king'amuzi changu hadi mvua inyeshe ndio kinaonyesha....nimekipeleka ofisini kwenu lakini wapi....mnazingua
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Habari wote,
Mimi ninayo dish ya startimes na imekuwa muda mrefu sasa tangu tusikie friction yenu na TCCRA mapaka sasa hivi siwezi kuona channel yeyote ya Startimes,

Tumia namba yangu ya simu utapata namba yangu ya card ya startimes 0754970320,ninaishi Kahama vijijini.

Pia hizo namba zenu za huduma kwa wateja ni bora mkaziondoa kwani hazina msaada wowote hazipatikani kabisa
 
Kwanini serikali imeamua kupeleka hivi channel's huko startimes kwenye matatizo
 
Yaani ninyi nawahama ni swala LA muda tu yaani huduma mbovu yaani TV naangalia usiku tu
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom