Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Ngoja tuwaambie CCM wakuchunguze uraia wako unautata kama wa SIOI SUMARI....mmeniangusha sana the mambaz
Ngoja tuwaambie CCM wakuchunguze uraia wako unautata kama wa SIOI SUMARI....mmeniangusha sana the mambaz
Tuwekee ID's zako zote mkuu...hahahahausikonde kamanda....hawatachomoka maputo.....na niliahidi stars wakijitahidi kutoa draw sitaingia jf siku 5.....naanza kesho....le itakuwa siku ya mwisho kuwa jf......
mchawi ni nyie wenyewe....mnajiroga hamjijui......hiyo timu yenu hata
kocha awe morinyo
msaidizi fagasoni,
kocha wa makipa wenger,
daktari ben carson
afisa habari larry king hamshindi ng'ooooo
Hivi wakenya ni wenzetu....!?Wenzetu kenya wameshinda 1-0
Ameachwa eti hajitumi kwenye timu ya taifa...Uzalendo anao Boko sema uwezo mdogo sana namkumbuka samata
Duuuuuuuuuuuuu
lakini halikuwa lengo hilo ...
mchawi ni nyie wenyewe....mnajiroga hamjijui......hiyo timu yenu hata
kocha awe morinyo
msaidizi fagasoni,
kocha wa makipa wenger,
daktari ben carson
afisa habari larry king hamshindi ng'ooooo
usikonde kamanda....hawatachomoka maputo.....na niliahidi stars wakijitahidi kutoa draw sitaingia jf siku 5.....naanza kesho....le itakuwa siku ya mwisho kuwa jf......
Kwa matokeo haya ya taifa stars, nazidi kulichukia soka la bongo.
Wenzetu kenya wameshinda 1-0
no dude....i aint no fun of that stickPal,
i warned you about the "sticky yik-yik'
YOYO ulisema hutaingia JF kwa siku 3no dude....i aint no fun of that stick