Stars/Msumbiji Live update!

Stars/Msumbiji Live update!

boko amekosa goli yeye na kipa. haki ya mungu boko hatufai. sio mchezaji. wenzake wanajituma yeye anajiangusha. sijui kwanini hajatolewa. inauma sana.

mbona kwenye chama anashinda au ndo CR7 kweny bg game anafeli...
 
Hii taifa stars inaonesha wachezaji hawajazoeana kabisa ndio wameanza kuzoeana kipindi cha pili
 
Hawa dawa yao game inaisha wanapelekwa pale Lugalo kwanza wanachezea fimbo..ndio watie akili
 
Mkitoka draw basi sitaingia JF siku 3.......na nimeongeza mkifungwa siku 10 siingii jf.....viva mambaz
 
boko sio mwenzetu. sijui kama ana uzalendo moyoni mwake.
 
bado draw?? naonea huruma sana wanaoshabikia stars......
 
sasa hivi ni dakika ya 86.
TZ 1 - 1 MOZAMBIQ
 
Back
Top Bottom