Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,743
arifu hio ndio hali halisi aisee.......nyie ndio wale mnaomsalia mwizi alazwe pema peponi....Mmmmh Yo Yo, uagainst wako punguza kidogo basi.
arifu hio ndio hali halisi aisee.......nyie ndio wale mnaomsalia mwizi alazwe pema peponi....Mmmmh Yo Yo, uagainst wako punguza kidogo basi.
usije kuiacha uwanjani
raha gani arifu? yaani kweli mmesshiwa....mnaanza kushangilia draw sasa.....
bwahahahahaha......usikonde arifu......naona unashangilia draw...nimesema mkitoka draw siingi JF siku 5..nimeongeza toka 3.....mpira hauchezwi mdomoni arifu.....Yoyo I wish 2ngekaa wote hapa ungeshakuwa na bandeji wewe.
Tunatoka draw kwahiyo natoka nayo kwa mbwembwe!!
Yo Yo ni proud to be Kenyan na leo wameshinda 1 kwa 0.Nina wac wac na uraia wako nahc unatokea pate msumbiji wewe
Wenzetu kenya wameshinda 1-0
Mimi siongei arifu...wape na jina la mfungaji please......na mna bahati sana leoWenzetu kenya wameshinda 1-0
mchawi ni nyie wenyewe....mnajiroga hamjijui......hiyo timu yenu hataDah yoyo we ndo mchawi umeloga taifa starz.
DuuuuuuuuuuuuuGOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!. Hadi mpira uishe si tutafungwa kumi. Hapa hata ukisema uwe mzalendo ushangilie timu yako, inakuwaje?
usikonde kamanda....hawatachomoka maputo.....na niliahidi stars wakijitahidi kutoa draw sitaingia jf siku 5.....naanza kesho....le itakuwa siku ya mwisho kuwa jf......mmeniangusha sana the mambaz