Starehe siyo kukesha kama popo

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,985
1,345
bongo ukisikia watu wanamzungumzia mtu anayekula bata basi ujue ni wale mapopo ambao hawalali usiku wa manane!kuna wabishi wanakula bata zao ndefu tena mchana kweupe!wengine kujifungia ndani ndo starehe zao,wengine kusafiri.....starehe yako ipi au bata lako unalila kwa style ipi?............mnyama unyamani!
 
Bata wangu hayupo katoka akirudi namkata alaf namla.
 
bongo ukisikia watu wanamzungumzia mtu anayekula bata basi ujue ni wale mapopo ambao hawalali usiku wa manane!kuna wabishi wanakula bata zao ndefu tena mchana kweupe!wengine kujifungia ndani ndo starehe zao,wengine kusafiri.....starehe yako ipi au bata lako unalila kwa style ipi?............mnyama unyamani!

Bata la usiku ndio mzuka..halina ile kutoleana macho kiivo,yani ni unyama kwenda mbele..bata la mchana labda kama umepanga trip ya mbali sana na mji ndio safi..

Watu wameuza usingizi mjini hapa!!
 
Bata la usiku ndio mzuka..halina ile kutoleana macho kiivo,yani ni unyama kwenda mbele..bata la mchana labda kama umepanga trip ya mbali sana na mji ndio safi..

Watu wameuza usingizi mjini hapa!!
Kuna wabishi hao wa gongolamboto ila upopo wao ni coco na sehemu zote za ufukweni!sijui wanalala saa ngapi na sijui kama wale wanakula bata au wanateseka!!!ila wabishi wanalazimisha suluhu ugenini
 
mi huwa starehe za club sizipendi,au kulewa nikiwa bar....but nikitaka kula bata nafungua mziki wa taratibu chumbani kwangu,naandaa kila kitu kinachotakiwa...kama ni vinywaji naweka za kutosha halafu nakesha ndani.....kuna raha ya kula bata na watu ila kuna raha zaidi ya unayopta unapokula bata mwenyewe huku unatafakari mambo ya msingi,itapendeza zaidi kama upo na yule umpendaye
 
Back
Top Bottom