Star times vs Zuku...

Zuku huonyesha EPL kila Jumamosi ,mechi moja kupitia UBC,kuhusu filamu wanaonyesha filamu nzuri sana,ila nimeshindwa kuelewa ni kwanini filamu moja inaonyeshwa kwenye channel mbili tofauti huku zipishana muda kiasi,kwa wale watu wa ujenzi wa nyumba ,design,madalali wa nyumba kuna channel ya Fine Living,pia kuna documentaries kibao,atleast mimi naona Zuku wamejitahidi ukiondoa hayo matatizo ya customer care na mafundi wao
 
Jamani Member wenzangu wa Jamii Forums nina king'amuzi cha STAR TIMES nakiuza kwa bei nafuu sana, Nataka kubadilisha huduma na kuweka DSTV. Kwa member anaehitaji anitumie Private Message.
 
Unataka kutuingiza mkenge?
 
sie huku zenjiberi letu sikio tu not much options zenj cable na dstv tu star time vijieneo vichaaache !
 
Jamani Member wenzangu wa Jamii Forums nina king'amuzi cha STAR TIMES nakiuza kwa bei nafuu sana, Nataka kubadilisha huduma na kuweka DSTV. Kwa member anaehitaji anitumie Private Message.
Kwa nini unaachana nacho??
 
Jamani narudia tena kuuliza ni chanelio gani za ndani zinazoonekana katika ZUKU??
 
Easy TV is the best. nimeitumia kwa miaka miwili sasa... only 9000pm all local channels + a lot of movie channels and international news channes... etc..
 
Lengo ni kuwa watu waachane na hayo madish, ishu ni kuwa hivi ving'amuzi vipatikane hadi huko vijijini. Suala la muhimu ni kuwa chanels zote za ndani zionekane.

umeme wenyewe shida kufika ndio watanunua vingamuzi. hivyo wamewaletea watu wa mijini tu.
 
startimes inaonesha tbc 1,tbc 2, channel ten, dtv, sibuka tv,clauds tv,itv hizi ndio nilizoziona kwa sasa
kifurushi cha uhuru unaona tbc 1,tbc 2 channel ten, dtv, sibuka tv,clauds tv
kile kifurushi kinachofwata baada ya uhuru ndio unapata na ITV
 
Kwahiyo Sisi watandale tulio nafedha za kudandadanda Itv tutaisikia tu!
 
mkuu ndio hivyo mfumo wa kibepari si rafiki hata kidogo wenye nacho hufaidi na kuendelea kufaidi na wasionacho wataendelea kukikosa. hata hivyo hizo gharama zinaonesha zitaendelea kupanda siku hadi siku.ndio dunia yetu ya sasa hiyo.
 
Kama ndio hivyo tutaachana na haya mambo kabisa, maana gharama zake zimekuwa kubwa sana.
 
Mm star times na zuku sivitaki hatakuvisikia. Kwa sasa nasuburia cha star tv nione kama kitanikidhi.
 
Kama ndio hivyo tutaachana na haya mambo kabisa, maana gharama zake zimekuwa kubwa sana.

ubaya serikali ndio imeshatuingiza chaka, na sisi tutahitajin taarifa na kutaarifiwa hivyo hatunabudi kuvinunua itakapofika ule muda channel zote zitakapokuwa hazipatikani bure. na wengi wataumia kwani hata hiyo elfu tisa kwa wengine ni ngumu.
 
Back
Top Bottom