Star times vs Zuku... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star times vs Zuku...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kaeso, Mar 14, 2012.

 1. k

  kaeso JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Heshima yenu wakuu. Kwa wiki sasa sipati matangazo ya tv baada ya dishi langu kupoteza chaneli. Sasa nina mpango wa kununua king'amuzi, lakini kabla ya kuingia huko naombeni ushauri kwa mnaotumia ving'amuzi. Kipi ni bora kati ya star times na hawa jamaa wa zuku?
   
 2. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Currently I am using Star times i have not face any problem with them so far! but i prefer Zuku over Star time henceforth take Zuku ndugu! cause quality of picture ktk Zuku zina overide Star times. plus more local channel and international channel ktk Zuku!
   
 3. k

  kaeso JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni local channel zipi zinapatikana katika zuku?
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Zuku nao wana matatizo kuna wakala wao kampumi tanzu ya Bw Mufuruki ukipiga simu zao walizoweka kwenye mtandao moja inaenda kwa mdada ,huyo mdada anasema imekuwa kero kwake kwani anapigiwa simu mara kwa mara na wateja kwenye namba ambayo hyo wakala kaiweka kwenye mtandao,na namba ingine ukipiga haipokelewi bali unasikia nyimbo tu,kuna kingine kinakera kuhusu hao mafundi wao ,panapo majaliwa nitaweka jamvini tabia za baadhi ya mafundi wao.kwa channel na muonekano Zuku wapo mbele sana ,Startimes wameachwa mbali sana kwa kila kitu.Kifupi ST ni cha mtoto kwa ZUKU
   
 5. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Swali lamsingi nikwamba local chanel zipi zinapatikana Zuku na Zipi St?
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  local channels zote zinapatikana kwenye zuku.
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Kwa sasa Customer Support ya Level 1 ya Zuku ni SimbaNET wako pale Pugu Road opposite Tazara Police. I hope muda si mrefu watahamia Namanga karibu na Best Bite.

  Level 2 ya Support ipo Nairobi ambapo ndipo kwenye DTH Facilities za kurusha channels zote. Programming pia inafanyikia hapo.
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  So far ni TBC1. ITV bado wanatia ngumu. lakini I hope soon cut-off date ya Digital Migration itawalazimisha.

  Tafuta Mesh Dish la Free to Air utapata Channels zote Local. Ukipata Technician mzuri anaweza akakuwekea BUC tatu na ukapata channels nyingi sana Local na za nje.
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Si kweli. Ni TBC1 peke yake.

  Hata DSTV wana TBC1 pekee as a Local Channel.

  Easy TV walikuwa na Local Channels zote kabala hawajanyang'anywa baadhi ya masafa na TCRA ila sina uhakika kwa sasa.
   
 10. k

  kaeso JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hiyo ni TBC pekee??
  Sasa haitakuwa na maana kuwa na ving'amuzi wakati local channels hazipatikani, hapa hawatutendei haki kabisa hawa jamaa.
   
 11. k

  kaeso JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hiyo ZUKU ni bora kuliko Star Times??
  Vipi local channels zipi ziko katika star times na muonekano wa picha zake ukoje??
   
 12. next

  next JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  tcra inabid waje na ideas mpya, kwa sasa watumiaji wa hivi ving¬Ďamuz tunapata shida sana. wangekuja na kanuni inayowalazimisha warushe local channels zote, kwa channels za nje ndo wawe na ushindani, vinginevyo watu tutakua na vingamuzi vyote ili tu kupata chanels nyingi za hapa kwetu
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni kweli tutakuwa na ving'amuzi kibao lakini havina local channels.
   
 14. mzawa10

  mzawa10 Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 91
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Habari za leo.
  Mimi nawashangaa naona kama serikali inafanya biashara kupitia ving'amuzi, sasa mtu uwe na startime, Ting, zuku Dstv itawezekanaje?? 1.nadhani wangeamua kuchagua kampuni moja ambayo itaweza kurusha channels zote kwenye king'amuzi ....alafu ishushe sana kodi maana sina uhakika kama kila mtanzania ataweza kununua ving'amuzi.
  2.Itakuwaje kwa watanzania na wengineo ambao walikuwa wanategemea masafa kwa njia ya satellite dish??me nadhani channels zote ambazo zinawekwa kwenye vingamuzi ziwekwe pia kwenye dish kwa wale wanaotumia dish huko maporini.
   
 15. k

  kaeso JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lengo ni kuwa watu waachane na hayo madish, ishu ni kuwa hivi ving'amuzi vipatikane hadi huko vijijini. Suala la muhimu ni kuwa chanels zote za ndani zionekane.
   
 16. m

  moshingi JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii nchi ni zaidi ya unavyoifahamu....utakumbuka mradi wa vidhibiti mwendo kwenye mabasi uliishia wapi?? palikuwepo kampuni ya mabasi iliyotamba ukanda mzima wa A. Mashariki na Kusini - Scandnavia ilikufa baada ya watu fulani kuondoka madarakani, Mradi wa vitambulisho vya taifa ulileta mzozzo mkubwa baina ya wakubwa unajua ni kwa nini??
  Basi ujue hivi ving'amuzi ni biashara kama hizo...maana pamoja na kelele nyingi ambazo wananchi wamezipiga TCRA na serikali kwa ujumla wameziba masikio...tujiandae kuwa na ving'amuzi vingi kama namba za simu...
   
 17. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Hao Zuku wanaonyesha Manchester United?
   
 18. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Jamani mbona mimi niliweka zuku na nimeitoa?nimeona haina tija kwangu kulipa 40,000 kwa mwezi kuangalia news tuu hakuna mpira. Nimeamua kuweka easy tv, angalau ni cheap na unaona chanel za news na local kama star, itv,tbc, capital,eastv.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hawa zuku hawana chaneli hata moja inayoonyesha mpira? Easy tv mikoani wanapatikana?
   
 20. k

  kaeso JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Easy tv nao gharama zao zikoje? Na huduma zao zikoje?
   
Loading...