Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,120
- 4,788
Sioni hoja hapa uliyoleta katika post hii.
Na huwezi kuona hoja maana wewe mwenyewe umejaza viroja katika post zako.
Sioni hoja hapa uliyoleta katika post hii.
Adika vizuri,msomi gani hata kuandika hujui.ndiyo wahindi wa st jose wanachowafundisha hicho basi....mwaka mzima unajua kuanza na herufi kubwa na kumalizia na nukta...shenz** kabisa
Asante mkuu.Na huwezi kuona hoja maana wewe mwenyewe umejaza viroja katika post zako.
Si kwamba nasema hamna hoja mnayosema,waziri kawaambia atashughulikia na mengine mumpelekee na katoa agizo kwa UONGOZI wa chuo kushughulikia hayo matatizo na mengine ka-address TCU kuangalia ubora wa wahadhiri hapo St.Joseph,sasa mnalilia nini tena...muda uliowekwa umeisha.Je,vyuo vingine unafikiri navyo havina matatizo? Kaeni msome hayo ma-course yenu myamalize.Wengi humu kama complex & hammer nahisi hamuelewi jinsi hali ilivyo. Ada mil 2.7 alafu huduma mbovu kila idara. Haki zetu nyingi kama mikopo serikalini tunacheleweshewa kwa sababu tusizozijua. Na haya malalamiko hayajanza leo ni miaka mingi tu. Sasa leo hii tunadai haki wanafunzi zaidi ya 3000, nyie mnasema tumekurupuka. Waziri naye haeleweki. Hamna m2 mpumbavu duniani mwenye akili timamu akakubaliana na huu upuuzi. Waziri wa nchi na cio huyu mama tu hadi kawambwa alichukua upande wa wahindi bila hata kutusikiliza. Tanzania we have a long way to go, you can't call this freedom!!!!.
KAMA UNAFKIRI NI MOB PSYCHOLOGY AU TUMEKURUPUKA UNA UGONJWA WA FIKRA.
Mkuu angalia iyo vidio hapo juu.Si kwamba nasema hamna hoja mnayosema,waziri kawaambia atashughulikia na mengine mumpelekee na katoa agizo kwa UONGOZI wa chuo kushughulikia hayo matatizo na mengine ka-address TCU kuangalia ubora wa wahadhiri hapo St.Joseph,sasa mnalilia nini tena...muda uliowekwa umeisha.Je,vyuo vingine unafikiri navyo havina matatizo? Kaeni msome hayo ma-course yenu myamalize.
Hatar sanaMambo bado mabichi hii ilikuwa bihind the scene.
Hayo alikuwa anaambiwa mama Ndalichako,lakini watu wanafikiri hatukipindi chuo.Hatar sana
Nimeona mkuu...Hayo alikuwa anaambiwa mama Ndalichako,lakini watu wanafikiri hatukipindi chuo.
Cc the hammer and complexMambo bado mabichi hii ilikuwa bihind the scene.
Asante kaka lazima mabadiliko yaonekane,hata kama hatuyakupata sisi wayapate wadogo zetu.Nimeona mkuu...
Mpaka kufikia hapo kweli chuo kipo kweny hali mbaya sana.
Polen sana
Mkuu kama kitu hukijui ni vizuri ukakiacha tu!TCU wametoka tamko juzi juzi tu kwamba St. Joseph Luguruni inakidhi viwango vya ubora wa elimu. Hivyo basi rudini darasani mkasome
Mkuu hapo kazini ni mwaka wa ngapi saivi isije kuwa ni wale waliomaliza 2013 kurudi nyumaHonestly speaking kazini nipo na vijana wawili waliosoma St. Joseph-B.E Civil. Wapo vizuri sana professionally, sasa sina uhakika kama St. Joseph ndio iliwa-shape to that extent au walipita sehemu nyingine pia. Kesho itabidi niwaulize.
Kwahiyo wahindi waliingia na gia ya dini😱😱😱Katoliki ndio walikuwa washiliki wao na walijitoa 2013.Sasa hivi wanakiendesha wao km wao(WAHINDI).
Ndio hao hao, lakini si walitumia workshop hizo hizo mnazolalamikia, walifundishwa na wahindi hao hao mnaowalalamikia!?Mkuu hapo kazini ni mwaka wa ngapi saivi isije kuwa ni wale waliomaliza 2013 kurudi nyuma
Wanaajirika kwa bei rahisi na niwaoga wa kupambana na soko la ajiraMkuu inabidi uangalie pande zote. Hapa TZ kwa sasa Chuo kinachoongoza kwa kutoa wahitimu- Wahandisi
wengi 'wanaoajirika' kirahisi ni St. Joseph.. Umewahi kujiuliza ni kwa nini?
Angalia hio vidio ktk post no 66.Honestly speaking kazini nipo na vijana wawili waliosoma St. Joseph-B.E Civil. Wapo vizuri sana professionally, sasa sina uhakika kama St. Joseph ndio iliwa-shape to that extent au walipita sehemu nyingine pia. Kesho itabidi niwaulize.