St Joseph ni jipu

St Joseph ni jipu

Mkuu inabidi uangalie pande zote. Hapa TZ kwa sasa Chuo kinachoongoza kwa kutoa wahitimu- Wahandisi
wengi 'wanaoajirika' kirahisi ni St. Joseph.. Umewahi kujiuliza ni kwa nini?
 
Mkuu hiki chuo ni JIPU kubwa, nakumbuka tripple E kulikuwa na hawa watu Karthkeyan (tevez) na Nagarajan (van dame) walikuwa wanasahisha daftari hadi mwandiko! Maabara yao vufaa hivyohivyo vinatumiwa na watu wa diploma hadi degree! Practical hizohizo zinafanywa na diplima had degree! NILISOMA TRIPLE E SEMESTER MOJA NIKAACHA CHUO.. FULL MAGUMASHI PALE
 
Mkuu umeufanyia wapi huo utafiti ukagundua hayo unayoyasema.Joseph ya 2013 kushuka chini sio hii ya leo.

Pia jiulize kwa nini kanisa katoliki walijitoa katika hiki chuo?.
 
Chukua tu 'sample' ya Kampuni 5 kubwa za uzalishaji (manufacturing) hapa TZ halafu tafiti wana wahitimu wangapi wa St. Joseph. Utashangazwa..
 
Mkuu mantiki yako ni ipi,je waraka huo unaoeleza matatizo hayo ni matatizo ya uongo au la?.

Funguka vizuri ueleweke.
 
TCU wametoka tamko juzi juzi tu kwamba St. Joseph Luguruni inakidhi viwango vya ubora wa elimu. Hivyo basi rudini darasani mkasome
 
Hayo unayosema yawezekana nikweli,lakini uongozi wa chuo umekili kuna mapungufu mengi.

Wanadai course zote zifanye mitihani isipokuwa Mech engineering waende kwanza kwenye viwanda baada ya hapo ndio warudi kufanya pepa.

Bahati mbaya audio na vidio zinashinda kuziweka humu ili usikizilize wanavyosema hao wahindi.
 
Migomo ya vyuo vikuu bana! Boom likisha na mtihani upo around the corner basi utasikia kuna mgomo.
 
Shida ukishaitwa mwanafunzi hata uwezo wa kufikiri unakuwa wa kiuwanafunzi wanafunzi. Juzi kati katika media sijui ndo kiongozi yule ama ni msemaji. Alikuwa anaongea vitu visivyoeleweka.

Kama mdau alivyosema hapo juu. St joseph katika engineering sector ndo wanaajirika kirahisi na ndo wametapakaa katika taasisi. Nyinyi mnasema hakuna mitaala inayokidhi soko la ajira. Ilihali soko la ajira linaprove vice versa.Hivi unadhani ni kwa nini ipo hivyo.? Fanya tafiti kisha rudi na jibu.

So rudini shule. Achaneni na mambo ya migomo isiyo na faida kwenu. Mwisho wa siku in a long run, you are in losing side.
 
Mkuu hiki chuo ni JIPU kubwa, nakumbuka tripple E kulikuwa na hawa watu Karthkeyan (tevez) na Nagarajan (van dame) walikuwa wanasahisha daftari hadi mwandiko! Maabara yao vufaa hivyohivyo vinatumiwa na watu wa diploma hadi degree! Practical hizohizo zinafanywa na diplima had degree! NILISOMA TRIPLE E SEMESTER MOJA NIKAACHA CHUO.. FULL MAGUMASHI PALE

Kwa hiyo kilichokufanya uache ni kuwa unasahihishwa mwandiko.? Kama una mwandiko mbovu ambao hausomeki why usisahihishwe.? Nenda popote pale duniani hata hiyo havard. Muandikie lecturer Mwandiko usiosomeka uone kama atakuacha asikwambie. Pia Jiulize kwa nini katika taasisi mbalimbali wanataka uandike barua ya maombi kwa mwandiko wako mwenyewe.

Unasema diploma na degree wanafanya same practicals, hivi unajua ni nini tofauti haswa ya diploma na degree kiutendaji hususan katika engineering.? Tatizo nchi ilizoeshwa kuendeshwa kwa tantalila na ujanjaujanjatoka kwa viongozi wake na wamewaambukiza mpaka wanaowaongoza.

Munayolalamikia yapo ya msingi na ya kweli. Na mengine mmeandika ili kupata sympath ya wasomaji. Maana haiingii akilini huo mnaouita waraka mnasema umetoka kwa wanafunzi, Hapo hapo mseme Vice principal anawatishia wafanyakazi/Waajiriwa. Sasa huu waraka ni wa wafanyakazi ama wanafunzi.

Pia Haiingii akilini Mtu ulalamikie kufanya practical za diploma. Ulitaka zipi ziwe practical za degree na zipi ziwe za diploma.? maana katika engineering vitu vyote ni vile vile. Au mlitaka mtu wa diploma afanye practical ya "DC/AC motors" tofauti na za mtu wa degree.? Ama siku hizi Kuna " Kirchhoff law" practicals tofauti kwa ajili ya degree na kwa ajili ya diploma.?
 
Kwa hiyo kilichokufanya uache ni kuwa unasahihishwa mwandiko.? Kama una mwandiko mbovu ambao hausomeki why usisahihishwe.?

Unasema diploma na degree wanafanya same practicals, hivi unajua ni nini tofauti haswa ya diploma na degree kiutendaji hususan katika engineering.?
Mkuu wewe kama hujakutwa na maswahibu ya dmi kaa kimya!
Nimesoma from std 1 hadi chuo kikuu huo mwandiko wangu ambao hausomeki umenifikishaje hapo!?

Wewe kwako unaona ni sawa practical anayofanya first year wa diploma ifanywe na second year wa degree! Tena same content na sometime unaambiwa kacopy kwa watu wa diploma... ! Kama wewe ni mwanafunzi wa dmi na unatetea upuuzi komaa mwisho wa siku ukatumikie wahindi. Na kipindi naondoka mkuu wa idara alinilazimisha nirudi kuwa watareserve ile nafasi nikamwambia kamwe sitorudi dmi na sitakuwa balozi mzuri wa kile chuo..
 
Moja,
I am not student kama unavyodhania. Nilishatoka huko miaka 5 iliyopita.

Mbili,
Inategemea ni practical gani. It seems ulienda na sylabus yako mfukoni. otherwise useme hawakufuata sylabus ya kozi husika kwa semester husiika hapo nitakuelewa. otherwise hayo ni mambo ya wanafunzi. Na tumetoka huko, tumeyapitia ama tuliyaona.

Tatu,
Sipo hapa kumtetea mtu yeyote. Naongea facts nizionazo.
 
Moja,
I am not student kama unavyodhania. Nilishatoka huko miaka 5 iliyopita.

Mbili,
Inategemea ni practical gani. It seems ulienda na sylabus yako mfukoni. otherwise useme hawakufuata sylabus ya kozi husika kwa semester husiika hapo nitakuelewa. otherwise hayo ni mambo ya wanafunzi. Na tumetoka huko, tumeyapitia ama tuliyaona.
Yaani "labda nilienda na sylabus yangu mfukoni!"
Yaani bado kunawatu wanatetea kile chuo!?
 
Hakuna anayetetea, ishu ni kuweka facts right. Yah yawezekana ulipotoka kwenu kwenda kuanza degree labda ulikuwa na mawazo kuwa mtu wa degree anaenda kufanyia practical mwezini, ama mtu wa degree ya uhandisi atakuwa anafanya practical za kutengeneza Rocket. So ongea kitu kinachoeleweka hakika utapata watu watakaokussoport, Lakini hayo ya kutuambia sijui mwandiko mara practical ya diploma anafanya degree. Hayaingii akilini.
 
Mjomba mi sio mgeni kwenye enginering kabla nilisoma diploma ya umeme na nilifanya practical heavy mpaka leo naenjoy life kwa ile diploma yangu ya ATC! Huwezi kutetea upuuzi wa wahindi wa kucopy everything from Anna University. Na chaajabu huoni huyu aliyeweka huu uzi kuwa ni mwanafunz wa hicho chuo!? Hujiulizi analalamikia nini!? Ok labda wewe ulisoma pale wakati chuo kinaanza ambapo atleast kulikuwa na lecturers wa kutosha lakini from 2013 hadi leo kile chuo ni zaidi ya JIPU
 
Kwa hiyo kilichokufanya uache ni kuwa unasahihishwa mwandiko.? Kama una mwandiko mbovu ambao hausomeki why usisahihishwe.? Nenda popote pale duniani hata hiyo havard. Muandikie lecturer Mwandiko usiosomeka uone kama atakuacha asikwambie. Pia Jiulize kwa nini katika taasisi mbalimbali wanataka uandike barua ya maombi kwa mwandiko wako mwenyewe.

Unasema diploma na degree wanafanya same practicals, hivi unajua ni nini tofauti haswa ya diploma na degree kiutendaji hususan katika engineering.? Tatizo nchi ilizoeshwa kuendeshwa kwa tantalila na ujanjaujanjatoka kwa viongozi wake na wamewaambukiza mpaka wanaowaongoza.

Munayolalamikia yapo ya msingi na ya kweli. Na mengine mmeandika ili kupata sympath ya wasomaji. Maana haiingii akilini huo mnaouita waraka mnasema umetoka kwa wanafunzi, Hapo hapo mseme Vice principal anawatishia wafanyakazi/Waajiriwa. Sasa huu waraka ni wa wafanyakazi ama wanafunzi.

Pia Haiingii akilini Mtu ulalamikie kufanya practical za diploma. Ulitaka zipi ziwe practical za degree na zipi ziwe za diploma.? maana katika engineering vitu vyote ni vile vile. Au mlitaka mtu wa diploma afanye practical ya "DC/AC motors" tofauti na za mtu wa degree.? Ama siku hizi Kuna " Kirchhoff law" practicals tofauti kwa ajili ya degree na kwa ajili ya diploma.?
Mkuu usilalamike wakati haupo chuoni,Leo hicho chuo unachokisifia hakina work shop yeyote ya Mechanical na kuna wanafunzi wa mpaka mwaka wa tatu.Unaingia kwenye practical unaambiwa vifaa ni vibovu uandike chechote kile siriously?.Leo baada ya kugomea prac muhindi anadai wanafunzi wapelekwe kiwandani kwanza halafu ndio waje kufanya mtihani.Kwa nini hayo hayakufanyika kabla ya mgomo?.

Ada elekezi kwa education ni 1.5M lakini chuo wanadai ni 1.8.2M,wanadai wanatoa tablet ukiingia chuoni lakini hawatoi.Ada elekezi from guide book ya tcu kwa course ya Mechanical 2014/2015 ni 1.8M ukija chuoni wanadai ni 2.7.5M wewe unaona ni sawa?.Mtu unalipia ela ya bima 50400 unakaa zaidi ya miezi sita hujapewa bima then wewe unaona ni sawa?.

Chuo hakina Prof hata mmoja,unafundishwa na wahindi ambao hata kingereza wengi wao hawajui then we unachukilia simple.
 
Humo katika red,

Hakuna anayechukulia poa, Madai yenu yaanaweza kuwa ni ya msingi but jinsi mnavyoyawakislisha mnafanya watu ambao hawaelewi na hawajafika hapo cchuoni wawe na mashaka.

Juu hapo umesema chuo hakina workshop yoyote ile. Then baadae unakuja kusema vifaa vibovu. Hivyo vifaa vibovu vinakaa wapi.?

Hayo ya ada elekezi ni ya serikali na kwa vyuo vya serikali walichofanya wao ni kumention ukomo wao wa kumlipia ada mtu kupitia HESLB. Mnalalamikia ada ya Milion 2.8 kwa degree ya engineering, Wakati kuna chekechea zinatoza milion 3 kufundisha watoto kusoma kuandika na kuimba nyimbo. Isitoshe hicho chuo ni cha private. Usilinganishe na UDSM CoET ambapo wanabackup ya serikali katika mambo mbalimbali.

Hapo kwenye Green kama ni kweli, Liangaliwe. Hakuna anayetetea uovu.
 
Juu hapo umesema chuo hakina workshop yoyote ile. Then baadae unakuja kusema vifaa vibovu. Hivyo vifaa vibovu vinakaa wapi.?
Kuna baadhi ya course prac zake zinaingiliana mfano hydroulic fluid wanasoma Mech,Civil so kuna muingiliano ni kiwa na maana kuwa Mech wanatumia lab ya civil ingawa na penyewe vifaa ni vibovu.But Mech hawana karakana yeyote.Ndio maana mwaka wa tatu kuna baadhi ya prac hawafanyi ingawa zimeorodheshwa kwenye prospectors inatakiwa zisomwe lini.Mfano wa hizo prac ni AIR CONDITION na REFRIGERATOR.
Hayo ya ada elekezi ni ya serikali na kwa vyuo vya serikali walichofansya wao ni kumention ukomo wao wa kumlipia ada mtu kupitia HESLB.
Soma tena nilichokiandika hapa hukuelewa hoja yangu.
Mnalalamikia ada ya Milion 2.8 kwa degree ya engineering, Wakati kuna chekechea zinatoza milion 3 kufundisha watoto kusoma kuandika na kuimba nyimbo. Isitoshe hicho chuo ni cha private. Usilinganishe na UDSM CoET ambapo wanabackup ya serikali katika mambo mbalimbali.
Unaharalisha wizi unaofanyika huko chokechea uwe sawa na huku juu?.Chuo cha private kwa nini ada zao kwenye guide book iwe tofauti na unayoaambiwa chuoni?.Kipindi unakuja kusoma chuo muongozo wako katika ulipaji ada ni nani tofauti na guide book inayotolewa na TCU?.Mbona sauti hawana back up ya serikali lakini ada yao ni ya kawaida?.

Back
Top Bottom