St Joseph ni jipu

St Joseph ni jipu

Elimu Kuu ya kwanza ni Kujitambua, "Ni afadhali anayekaa nyumbani akajifunza anachokipenda alafu akabuni kitu kupitia Hicho kuliko anayeenda chuo, alafu anakuwa anasifia chuo alichopo bila kufaidika na Lengo la kuwa Pale." Swala St. Joseph kupewa GPA ili waajirike ni tatizo ambalo Hata vyuo kama UDSM au DIT au UDOM lipo kwa namna nyingine, ambayo matokeo yake ni wanafunzi kutokuweza Kuwa Competent kwenye Ubunifu na Watu wengine waliokuwa na Wanajifunza wenyewe kwa Muda Mrefu.
 
Vyuo vyetu tunaelewa majanga ya practical ni kila sehemu naamini compete ya mtu inatoka na bidii binafsi siku kuna vyanzo vingi vya kujifunza course yako unayosomea college ,tutorials kibao YouTube sambamba na vitabu kwa njia ya mitandao, Practical ni majanga kwa college zetu pigeni shule vijana kazi mtakuja kuzimudu wala msitishike na majina ya vyuo vingine hapo mlipo ni official
Yaani nimeona ulichosema, Tunaishi katika Dunia ambayo Bila hata ya kwenda Chuo unaweza ukajifunza vitu
 
Back
Top Bottom