mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,696
Leo ndo nineamini prof ndalichako na yeye ni jipu haiwezekani apewe walaka ulioandaliwa na serikali ya wanafunzi na kuusoma in two days ndani kukiwa na matatizo yote yanawakabili wanafunzi afu anafika chuoni anaanza kuwasikiliza wahindi badala ya serikali ya wanafunzi na ilipofika zamu ya serikali ya wanafunzi kuzungumzia matatizo yanayowakabili anamnyang'anya raisi wa chuo kipaza sauti kwamba asiongee vitu ambavyo havijaongelewa na huku vyote vipo kwenye ule walaka ulioandaliwa na yeye kupewa na sijaona umuhimu wake wa kuja chuoni maana hakuna hata kitu kimoja alichotatua afadhali angebaki hukohuko hata asije..!!