Mkuu ligi ya kenya ni sawa na ligi daraja la pili hapa Tanzania in terms of competativeness......!
so ligi yao ni nyepesi sana ...hata kama Tambwe akienda kule na kiwango chake alichokuwa nacho sasa hivi bado atawa-sumbua sana.
Ligi yao mbovu in short.! dah huyu Andunje sasa sijui itakuwaje....hukumuona alivyo kuja na timu yake kwenye moja ya pre season match hapa Tanzania...!
Jamaa sijui ataenda wapi ligi ikiisha...Mashabiki wa mpira pesa watamtaka ashindi kila mechi.
Hujui kutofautisha NBA na vpl pole hebu tengua kauli
Hivi unamjudge vipi mchezaji kwa mechi moja? Nadhani u scout wako hauna tofauti na wa Maximo, wa kumusajili Jaja kisa ana umbo kubwa ili aje awasumbue mabeki vimbau mbau wa Tz.
Alafu Super Sport wanaweza onesha ligi isiyo na ushindani, misimu miwili mfululizo?
Ligi hiyo hiyo isiyo na ushindani ndo imewatoa Wanyama, Mariga n.k wanaokipiga ligi za ulaya. Ligi yako ya Bongo yenye ushindani imewatoa kina nani???
Mkuu ngoja nikupe shule kidogo.....
Ili upate haki ya kuonyesha ligi katika makampuni makubwa, yakupasa utoe pesa ndefu ili upate haki ya kuonyesha ligi husika kupitia media outlet yako..
Ligi ya Tanzania inapokea Pesa ndefu ya udhamini wa haki ya ligi kutoka kwa kampuni ya Azam Media ukilinganisha kiasi cha pesa wanachopokea Ligi ya kenya kutoka kwa supersport.
Hao sijui, DSTV Walitaka kulipia haki ya ligi ya Tanzania lakini hawakuweza kutokana nae Bakhresss(Azam Media) aliweka dau zuri mezani, na TFF walimchagua Azam, hivyo iliwabidi (supersport) warudi kwao.
Thats enough lesson tho...!
Asante kwa darasa. Vipi kuhusu kutoa wachezaji kibao wanaocheza ulaya wakati ligi yao, huku kwetu ni sawa Dr. Mwaka Sport Xtra Ndondo Cup?
lol jukwaa full majibu lol tenaWe jamaa ni serunkuma kabisa kwa iyo unataka wamsajili hasheem thabeet au?
Mkuu fikiria kidogo maskauti na agents hawana access na Azam Tv...Huduma za supersport zimeenea bara zima...!
Hiyo ni sababu tosha kwa jibu lako.
Lakini hao jamaa walitoka kenya, kabla super sport hawajaanza kuonesha KPL.
Nitahitaji kujua mchezaji yupi wa kikenya kapata exposure katika soka la ulaya kabla ya 2007...!
Uongozi wa Aveva umeamua kutufanyia kituko kingine ndugu zangu...huu usajili wa haka kachezaji kafupi...sina uhakika nao..simply because kachezaji kaliongoza kwa magoli kwenye kaligi ka kenya sasa nao simba ndio wameona mlango wa kupitia...haka kachezaji ni kafupi kwelikweli...nilikaona pale msimbazi kalikuwa kanaingia ndani kumwaga wino.
Najiulizaga hivi kweli kataweza kuwakabili akina Canavaro na Yondani.
kusema kweli simba yangu ya nsimuu huu ni Ashki Majnuni.Ngoja niende kwa mtani Yanga (kwa mkopo)...hadi msimu huishe.
uongozi wa aveva umeamua kutufanyia kituko kingine ndugu zangu...huu usajili wa haka kachezaji kafupi...sina uhakika nao..simply because kachezaji kaliongoza kwa magoli kwenye kaligi ka kenya sasa nao simba ndio wameona mlango wa kupitia...haka kachezaji ni kafupi kwelikweli...nilikaona pale msimbazi kalikuwa kanaingia ndani kumwaga wino.
Najiulizaga hivi kweli kataweza kuwakabili akina canavaro na yondani.
Kusema kweli simba yangu ya nsimuu huu ni ashki majnuni.ngoja niende kwa mtani yanga (kwa mkopo)...hadi msimu huishe.
mesi wa ajentina ni mrefu?
Ni dhambi kubwa sana, kumzungumzia messi na akina Andunje at the same time.
Hivi unamjudge vipi mchezaji kwa mechi moja? Nadhani u scout wako hauna tofauti na wa Maximo, wa kumusajili Jaja kisa ana umbo kubwa ili aje awasumbue mabeki vimbau mbau wa Tz.
Alafu Super Sport wanaweza onesha ligi isiyo na ushindani, misimu miwili mfululizo?
Ligi hiyo hiyo isiyo na ushindani ndo imewatoa Wanyama, Mariga n.k wanaokipiga ligi za ulaya. Ligi yako ya Bongo yenye ushindani imewatoa kina nani???
...kama humjui sserukuma kaa kimya mkuu...
Ngasa ni mrefu? Mijitu mingine kama mashetan mawazo yao