Sserunkuma Na Mboob Wakikaa Pamoja Si Ndio Panatokea Mimba??
yap,mimba kwa yanga
Sserunkuma Na Mboob Wakikaa Pamoja Si Ndio Panatokea Mimba??
yap,mimba kwa yanga
yap,mimba kwa yanga
Kwa timu gani pale ya kuifunga yanga goli tano (5)!!!!tena ya watoto mapacha watano, maana wale wa mwaka uleee walishakua.
Kwa timu gani pale ya kuifunga yanga goli tano (5)!!!!
Tusubibiri hiyo kesho ndo tutajua nan ni nan?
"yanga ni sawa na mti wa maembe uliopo uani kwetu, tukijisikia hamu ya embe tunatoka nje na kuchuma." - jamhuri julio
Mkuu nimekuwa nikifuatilia sana posts zako nikajua wewe ni Great Thinker (GT), sasa ulipom-quote punguwani Julio nimeku-degrade hadi kuwa Great Sinker (GS).
Hahaha.. Eti Great Sinker.. Julio ni kocha "wetu" ambaye hajawahi kufungwa hata siku 1 na kandambili. Kukumbuka maneno yake kipindi tukielekea MJ sidhani kama kuna ubaya..
Kama mna kocha punguwani kama Julio kweli ni hakika mashabiki wa Mikia ni Mambumbumbu.