Sserunkuma Atakuwa Kama Tambwe

Sserunkuma Atakuwa Kama Tambwe

"Andunje" mwingine Messi akimtesa tall Vermaelen

Thomas%2BVermaelen%2By%2BLeo%2BMessi.jpg
 
Serunkuma ni mmoja kati ya washambualiaji bora na hatari katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Ni mchezaji tegemeo pia wa timu ya taifa ya Uganda inayotajwa kuwa timu bora zaidi katika eneo hili, na pia yenye wachezaji wengi wenye ushindani wa namba.

Pamoja na ufupi wake, anatarajiwa kuleta chachu ya ufumaniaji nyavu ndani ya kikosi cha Simba kutokana na kasi, wepesi, akili, shabaha ya goli na nguvu pia. Tofauti na Tambwe ambaye anamudu zaidi kama mshambuliaji namba moja, Danny anatoa option nyingi katika mifumo mbalimbali kwa sababu anaweza kushambulia kutokea kushoto au kulia, kati kama lone striker na pia kama mshambulizi namba mbili. Lakini udhaifu wake mkubwa ni uwezo mdogo wa kucheza mpira ya kichwa.

Kama Tanzania itampa mazingira kama ya Kenya, timu nyingine za Ligi Kuu lazima ziwe concerned na huyu anayeitwa kidudu mtu maana ni ukweli ulio wazi kuwa jamaa anajua, na kwa mipira ya Tanzania ya kukimbizana anaweza kuwika zaidi.

Kwa upande mwingine, napenda kuipongeza Simba kwa kusajili mchezaji baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu badala ya kutumia usanii wa majaribio kumpa mtu mkataba. Nilitaka kusema imejifunza kutokana na makosa lakini kwa kuwa na majaribio ya huyo Mgabon naona inataka kurudi kulekule. Simba, Yanga na Azam ziache mara moja tabia ya kuwafanyia majaribio wachezaji wa kigeni na badala yake ziwe na maskauti watakaokuwa wanafuatilia mchezaji katika nchi za kigeni na anapokuja nchini apimwe tu afya na kupewa mkataba.
 
Uongozi wa Aveva umeamua kutufanyia kituko kingine ndugu zangu...huu usajili wa haka kachezaji kafupi...sina uhakika nao..simply because kachezaji kaliongoza kwa magoli kwenye kaligi ka kenya sasa nao simba ndio wameona mlango wa kupitia...haka kachezaji ni kafupi kwelikweli...nilikaona pale msimbazi kalikuwa kanaingia ndani kumwaga wino.

Najiulizaga hivi kweli kataweza kuwakabili akina Canavaro na Yondani.

kusema kweli simba yangu ya nsimuu huu ni Ashki Majnuni.Ngoja niende kwa mtani Yanga (kwa mkopo)...hadi msimu huishe.

Wewe kweli pwagu...pwaguzi ni Makoye Matale....Sserunkuma na Ngassa nani mfupi zaidi kama sio ngasa...
 
Last edited by a moderator:
Tangu msimu wa 2005/2006 Mariga alikua anakula maisha Sweden mpaka msimu wa 2007/2008 alipotua Italy. Msimu wa 2007/2008 Wanyama alikuwa akila maisha Sweden. Kabla ya hapo walikuwa KPL. Hapo sijamgusia Daniel Ochieng.

Hao hawana mpira wowote zaidi ya kuongea Kiingereza vizuri kuliko Watanzania, hiyo ndiyo tofauti inayowapeleka Wakenya Ulaya. Si unakumbuka Boban alikwenda Sweden na kurudi fasta kwa madai kule hakuna ulanzi, hakuna chibuku wala hakuna mademu wa bei poa hivyo karejea Dar na kuendelea kula mibangi yake, tatizo kubwa la wachezaji wetu ni Communication skills! Hapa sitaki kuzungumzia kizungumkuti cha Kapombe.
 
Mimi sio shabiki wa Simba hata kidogo lakini Sserumkuma ni moja kati ya wachezaji wajanja sana...

Nimekuwa nikimuona mara nyingi ligi ya Kenya, nilimuona Chalenji akiwa na Cranes...

Simba wamepata mchezaji lakini wasiwasi wangu pengine ni Simba kukosea namna ya kumchezesha au kumpa patna wasiyeendana...

Ni mchezaji mzuri lakini siyo tishio. Pale Simba ni Okwi tu, akidhibitiwa huyo Simba kwishney! Walikuwa wanalalamikia ubovu wa safu ya ulinzi lakini hadi sasa naona wanasajili washambuliaji tu, kumbe nao wanatatizo kama letu!
 
hivi na mkongwe Danny Mrwanda wamemchukua tena au?
 
Mkuu namjua sana Hutu dogo.....natazama sana kpl..
....safi...mie huyo namjua kuanzia UG..kenya na last nilikua Kigali Kagame Cup...ingawa Gor mahia haikufanya vzr ila alicheza vzr...sina hofu naye kabisa..labda apigwe misumari maana mpira wa kibongo ...mambo nje ya uwanja ni mengi
 
Ni mchezaji mzuri lakini siyo tishio. Pale Simba ni Okwi tu, akidhibitiwa huyo Simba kwishney! Walikuwa wanalalamikia ubovu wa safu ya ulinzi lakini hadi sasa naona wanasajili washambuliaji tu, kumbe nao wanatatizo kama letu!
...hapo ndio nashindwa kuelewa simba ina ttz idara ipi?...maana hans pope alipokuja kigali alisema anataka beki ..tukamuonesha beki toka burundi Husen bitoy..na kweli wakaongea akaja dar..ghafla wakamkata wakamsajiri okwi..leo nasikia wameongeza sserukuma..na dani mrwanda..

...naona beki wameamua kumuamini mgeveke na owino.....sijui nafasi ya kiemba atasimama nani kwa ufanisi..
 
Tatizo la simba ni kati na kwenda mbele. Hawatengenezi nafasi za kutosha. Kama ni defense, wamefungwa goli ngapi mpaka sasa, na timu yenye rekodi nzuri ya defense mpaka sasa wameruhusu goli ngapi??
 
"Andunje" mwingine huyu hapa wa pili kutoka kulia. Alifikia kuitwa "Golden Boy" alipokuwa Simba.

1907581_465771933522436_696538142_n.jpg
 
Uongozi wa Aveva umeamua kutufanyia kituko kingine ndugu zangu...huu usajili wa haka kachezaji kafupi...sina uhakika nao..simply because kachezaji kaliongoza kwa magoli kwenye kaligi ka kenya sasa nao simba ndio wameona mlango wa kupitia...haka kachezaji ni kafupi kwelikweli...nilikaona pale msimbazi kalikuwa kanaingia ndani kumwaga wino.

Najiulizaga hivi kweli kataweza kuwakabili akina Canavaro na Yondani.

kusema kweli simba yangu ya nsimuu huu ni Ashki Majnuni.Ngoja niende kwa mtani Yanga (kwa mkopo)...hadi msimu huishe.

Kwani hao warefu wameifanyia simba nini mpaka sasa..
 
....safi...mie huyo namjua kuanzia UG..kenya na last nilikua Kigali Kagame Cup...ingawa Gor mahia haikufanya vzr ila alicheza vzr...sina hofu naye kabisa..labda apigwe misumari maana mpira wa kibongo ...mambo nje ya uwanja ni mengi

It takes JUJU in order to survive katika ligi hii.....! si umemuona Tambwe sasa hivi...yaani utafikiri mke wa nyumba ndogo.hata kocha Phiri hamjali....!...naona sasa aondoke arudi burundi ampishe Andunje.
 
mbona walikuwepo kina saidi maulidi smg,kina aguero unawasemaje?acha ushamba ndugu!!

Mkuu nimeona Avatar yako.....nimekuelewa sana.
samahani kama nilikuudhi kwa kuzungumza ukweli wa huyu andunje..lakini huo ni ukweli kuhusu huyu mtu.

Nilipata kumuina live mechi mbili akichezea gor mahia katika michuano ya CECAFA.
 
Wewe kweli pwagu...pwaguzi ni Makoye Matale....Sserunkuma na Ngassa nani mfupi zaidi kama sio ngasa...

Mkuu huitaji kuonyesha mapovu yako ili tujue kwamba unakerwa na ukweli..!nikuulize vizuri! je ww ni mfuatiliaji wa soka...!
Baada ya kujibu swali hili ndio ufanye ku-reply to my comment.
Tusije tukawa tunabishana kumbe mwezangu si mtu wa soka.

Yaani hata kujua nani mfupi zaidi kati ya Ngassa na Ssrernkuma...inakusumbua!
 
Back
Top Bottom