Squid Game imesukwa haswa

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Niliona watu wanaifagilia sana hii series wengine wanaishindanisha na money heist Ukweli ni kwamba tuache ushabiki hii series ni bora kuliko money heist

Hii series inaonyesha namna gani mtu yuko radhi kwa lolote ilimradi apate pesa Ukiingalia hii series kuna watu wanamadeni hatari kuna watu wanafanya kazi lakini hawalipwi mishahara kama kijana ali

Lakini baada ya kila mtu kuingia kwenye mchezo kuna matumizi ya akili sana humu hii series inaonyesha roho zetu zilivyo mbele ya pesa watu wanauana humu usipaime

Mchezo ulianza kama utani lakini waligundua eliminated is death watu wakadata hasa

Nipo episode ya 05 Naipa rate 9/10
 
Nilisikitika kale kadada kufa vile alikuwa amemuahidi maisha mazuri mdogo wake,

Lakini nimeipenda character ya yule Mama mkorofi anayekataa kuitwa Mama anataka aitwe mtoto kwa kweli anastahili tuzo ameitendea haki sana ile character na alinifurahisha alivyodondoka na yule jamaa katili wakafa wote,

Main character historia yake ilikua inasisimua lakini nimesikitika Mama yake hakuweza kuona matunda ya mwanae na vile alivyoona pesa si kitu kama hana furaha akagoma kuchukua pesa alizoshinda,

Wakorea hua wana story nzuri sana nawapenda kwa hilo, natumaini Season 2 itakua bora zaidi.

PS: Mtu kuifananisha Squid Game na Money Heist ni uzuzu wa hali ya juu sababu ni story mbili tofautiii,

SG ifananishwe na SAW na kweli story zimefanana lakini SG naipa kongole zaidi sababu watu walienda kwenye Game wenyewe hawakulazimishwa.
 
Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya squid game na money heist.! Squid imegusa sana hisia/maisha yetu tunayoishi wameonesha nguvu halisi ya pesa kitu ambacho kwenye money heist hakipo na pia money heist Ile Ni plan kitu wanachokifanya ni utekelezaji tu kwa hiyo msije mkalinganisha kitu ambacho kimepangwa na mtu alikaa chini akafikiria Ile Ni game tu Ila ugumu upo kwenye uchezaji Cha muhimu usivunue sheria

Kwanguu Mimi money Ni best Aisee ina kila kitu mapenzi,usaliti,pesa na akili ya Hali ya juu
 
Nilisikitika kale kadada kufa vile alikuwa amemuahidi maisha mazuri mdogo wake,

Lakini nimeipenda character ya yule Mama mkorofi anayekataa kuitwa Mama anataka aitwe mtoto kwa kweli anastahili tuzo ameitendea haki sana ile character na alinifurahisha alivyodondoka na yule jamaa katili wakafa wote,

Main character historia yake ilikua inasisimua lakini nimesikitika Mama yake hakuweza kuona matunda ya mwanae na vile alivyoona pesa si kitu kama hana furaha akagoma kuchukua pesa alizoshinda,

Wakorea hua wana story nzuri sana nawapenda kwa hilo, natumaini Season 2 itakua bora zaidi.

PS: Mtu kuifananisha Squid Game na Money Heist ni uzuzu wa hali ya juu sababu ni story mbili tofautiii,

SG ifananishwe na SAW na kweli story zimefanana lakini SG naipa kongole zaidi sababu watu walienda kwenye Game wenyewe hawakulazimishwa.
hatari naenda nayo taratib nikitoka kuchakarika niwashe chombo
 
Wee utakua uliangalia ukiwa una sinzia aki.jamaa alichukua begi akajaza hela akaenda kumchukua yule mdogo ake na yule demu alichomwa na chupa akampeleka kwa mama ake au unamaanisha nini unaposema jamaa hakuchukua hela au mama yake hakufaidi?na wakati alipanda hadi ndege kwenda kumfuata mtoto ake marekani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom