Squid Game imesukwa haswa

asee kwangu naipa rate 6/10 haifikii KWA SQUID GAME
 
Wewe jamaa watu wameidiscuss SG huko miuzi kibao ukaona na ww uanzishe wako eti


Ni kweli album mpya ya kiba ni nzuri kiasi chake

*Haaf ulipotea Mr Kushmoto sikuon kwenye Page za movies.. vipi
majukumu mzee baba, hii movie nimeileta watu wengu waipakue ni moja series bora kabisa
 
Tuache unafiki wabongo, kuna matumizi gani ya akili yaliyokuwa yanatumiwa na wale wacheza game?

Ni series ambayo imepata umaarufu ila ina story simple sana.

Kwa upande wangu hii series haina hadhi ya kushindanishwa na Money heist
kuna scene unatakiwa uchaguwe shape lakin ujui nini kinafuata baada ya uchaguzi huo sasa gi hun akachagua shape ya mwamvuli alafu akapewa kikake na sindano yaan achonge itoke iyo shape ya mwamvuli ukikosea unatwanga risasi alafu unakuja unapiga kelele money echi echi
 
Mbowe ni gaidi
😳😳
ahahahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Alitumia muda gani kuzitoa pesa zake? Hukuona hadi Bank walimuita kumuomba afungue miradi sababu pesa zimekaa mwaka mzima na bado hakujibu kitu zaidi alimuomba yule manager hela ya nauli,

Mama yake!!! Hukuona aliporudi mama yake alimkuta amefia ndani? Yule Mama ni wa yule jamaa yake aliyebaki nae kwenye game hadi akajiua ndo alimuomba amuangalie mama yake,

Alipoonana na yule mzee na kumjua kua ndie Mastermind wa ile michezo hatari ndio akajiapiza kulimaliza lile genge lao, hakupanda ndege alirudi baada ya kumsaidia yule jamaa aliyekua anarubuniwa kama yeye kwenye ile station akachukua kadi akaipiga ile namba Front Man akapokea na kumsihi apande ndege lakini hakupanda akaondoka ndio ikaishia hapo,

Nyie ndo mnaangalia yale mamovie ya kutafsiriwa na Dj Mac basi mnajikuta wajaaaanja wakati mnadanganywa.
 
Hawezi kua gaidi sababu umesema wewe

Maana wewe huna mamlaka hayo...

Ricky and Morty ina hii dialogue inafanana na hali hii kabisa

President: Don’t tell me what I want, you anti-American piece of sh*t you terrorist!

Ricky: You know, you use that word so much it’s lost all meaning, Mr. P. It’s like, at this point, what’s a terrorist? It’s a guy you don’t like. Big deal
 
part two utashangaa wameingiza watu wengine humo ndani mpaka mtiriko unapotea kabisa.

watu ambao nahisi tutawaona tena baada ya babu kuwa ndiyo mwenye mchezo,yule demu mcharuko na jamaa yake wale nahisi pia kuna kitu wanahusika ktk hili game.
 
Sasa ndio nini hiko..
 
Naipa 3/10
Imechorwa kinadharia mno, haikuenda kwenye uhalisia, main character, hakuwa ameandaliwa vzr, haendani na matukio, ukiangalia washiriki wote wakiomo wanakufa tu Tena ktk mchezo ambao hata hauleweki,

Ufundi pia haukutumika vzr, yaan police anakuja mpka anaingia ndani kwenye jumba, pamoja na technology wanashindwa kubaini, bado police katuma ujumbe toka anakwenda mpka anafika, halafu mtu aliepigiwa simu anamuuliza eti tumekuwa tunakutafuta...


Kibaya zaidi, jamaa mwishoni anamkamata, halafu anakwambia hakuna network wakati mda mchache ametoka kuongea na sim..

Kimsing, hii series ipo chin ya kiwango maana inamauaji ambayo hayana uhalisia, kwangu mm Ni poor... 3/10
 
Kama mwamba umesema, mimi nani nikupinge?
 
part two utashangaa wameingiza watu wengine humo ndani mpaka mtiriko unapotea kabisa.

watu ambao nahisi tutawaona tena baada ya babu kuwa ndiyo mwenye mchezo,yule demu mcharuko na jamaa yake wale nahisi pia kuna kitu wanahusika ktk hili game.
Hata mie nina mashaka sana kama season 2 itakua nzuri maana watengenezaji wanasema hawakuamini kama series ingeenda viral namna ile, sasa kujipanga kutoa kitu kikubwa zaidi inabidi watulie haswaaa wasiwe na papara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…