Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
😂😂😂😂Kweli mkuu yanga jana wamecheza vizuri mno
Ina episode ngapii
hatari naenda nayo taratib nikitoka kuchakarika niwashe chomboNilisikitika kale kadada kufa vile alikuwa amemuahidi maisha mazuri mdogo wake,
Lakini nimeipenda character ya yule Mama mkorofi anayekataa kuitwa Mama anataka aitwe mtoto kwa kweli anastahili tuzo ameitendea haki sana ile character na alinifurahisha alivyodondoka na yule jamaa katili wakafa wote,
Main character historia yake ilikua inasisimua lakini nimesikitika Mama yake hakuweza kuona matunda ya mwanae na vile alivyoona pesa si kitu kama hana furaha akagoma kuchukua pesa alizoshinda,
Wakorea hua wana story nzuri sana nawapenda kwa hilo, natumaini Season 2 itakua bora zaidi.
PS: Mtu kuifananisha Squid Game na Money Heist ni uzuzu wa hali ya juu sababu ni story mbili tofautiii,
SG ifananishwe na SAW na kweli story zimefanana lakini SG naipa kongole zaidi sababu watu walienda kwenye Game wenyewe hawakulazimishwa.
awesome and baddassMoney heist imejaa upuuzi mwingi
Squid game is the best so far
Wee utakua uliangalia ukiwa una sinzia aki.jamaa alichukua begi akajaza hela akaenda kumchukua yule mdogo ake na yule demu alichomwa na chupa akampeleka kwa mama ake au unamaanisha nini unaposema jamaa hakuchukua hela au mama yake hakufaidi?na wakati alipanda hadi ndege kwenda kumfuata mtoto ake marekani.Nilisikitika kale kadada kufa vile alikuwa amemuahidi maisha mazuri mdogo wake,