Hivi hakuna mtu mwingine anayeweza kupata data kama hizi?Waandishi Makanjanja, Wamechukua Uchambuzi wa Mkandara na dataz za FMES hata aknowledgement?
Hii kitu bwana ni kampeni za Kikwete kwa namna moja au nyingine...!
Kajifanya kuwaumbua mafisadi wakati nayeye ni mmoja wao!
Of course utendaji wa Sitta ni mzuri,sasa kwa nini aliiomba CCM radhi huku akijua fika kuna mafisadi?!Angeonyesha msimamo wake uko wapi.
Lengo la Kikwete ni kulimaliza nguvu hilo kundi la MAFISADI ambalo lipo against yeye kwa kumtumia Sitta!!!
Check vizuri hii kitu,but simlazimishi mtu akubali/aamini,ni mawazo yangu tu!
yomba yomba ha ha ha ha ,kaka kiluga kimenikaa kushoto ila nahamu nijue saana , haya mambo ya kuishi mijini mhh mpaka lugha tunaharibu lakinni moto gwa nsanzu ni moto wa kuachia mbali unaonukia, si unajua ukimjerui simba inakuaje mmmh macho yetuUrambo Tabora,
Wewe mnyanyembe hebu acha maneno yako hapa, moto ngwa nsanzu? haya tunausubiri tuuone
Pamoja na yote wanashindwa kuelewa kwamba wananchi wote sasa hivi wanaakili walizani wangemg'oa sita ndio wangewin na ufisadi wao tungeandamana si tunaangalia wanaotetea haki zetu sasa kawa wanaotupigania ccm hawawataki sisi tutawataka wao mi sasa hivi nachukua mazoezi mwakani au 2010 vita ni vita mura tutakuwa kama tarime we waache tu
he he nhe he nhe heMmmh mkuu hata gari ikikimbia gia huwa inabadilishwa au kujibadilisha yenyewe. Sentensi hii ukiisoma ukiwa unaongea utakuwa umemaliza majagi 6 ya maji wakati unafika kwenye kituo cha sentensi. Hata mie naona unachukuwa mazoezi.......aaahha teh teh..... No fight, tunaelimishana tu.
Duh Mwaka huu... Kweli Mungu amesikiliza sala zetu. Muungwana asipoamka usingizini amekwisha