MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
ulitaka amtaje mumeoKwa nini unamtaja halima? wengine hujawaona? au unataka uzi wako utrend?
ulitaka amtaje mumeoKwa nini unamtaja halima? wengine hujawaona? au unataka uzi wako utrend?
Mwenyekiti ndiye aliyesoma maazimio ya kamati kuu ya chama chao kuwafukuza uanachama watu hao. Sasa sijui unataka atamke nini tena.Mtoa hoja kumbuka kuwa Mwenyekiti mwenyewe wa CHADEMA hajasema kitu ila wewe unakomaa. Acha ruzuku tuendelee kuipata kwani ofisi inafaa iendelee.
Sababu ndio kiongozi wa hiyo covidKwa nini unamtaja halima? wengine hujawaona? au unataka uzi wako utrend?
Ukiona mtu anakataliwa na wapiga kura wake jua kuwa ana tatizo .Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu...
Uzi wenye uzito kama huu lazima utrend tu maana unajiuzaKwa nini unamtaja halima? wengine hujawaona? au unataka uzi wako utrend?
Hata hivyo Mdee kwa sasa hana umaarufu wowote kama mleta comnent alivyo kusudia tuaminiAtawakilisha wenzie.
Kenge hawezi kujua kama anapigwa au ameumizwa hadi aone damu zinamtoka masikioni.Shetani hawezi kusikia maneno bila vitendo. huyu ni shetani atasikiaje maneno matupu?
Kwa jinsi Spika alivyosimamia suala hili kidete na kuahidi kuwalinda hao wanawake itakuwa vigumu yeye binafsi kutekeleza jambo hilo. Njia rahisi sana ya kuokoa jahazi na kuponya nchi ni wahusika kujitafakari kama kweli kwa mazingira yaliyopo kuendelea kuwepo wao bungeni kinyume na katiba ni jambo lenye tija.Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu....
Ndugai kumbuka Mungu hadhihakiwi Ukimdhihaki Mungu lazima UFENingeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa kila siku kabla ya bunge kuanza kuna sala ya kuliombea bunge huku Jina la Mungu likitajwa
Sasa kwa muktadha huo, Ndugu Spika ajitafakari, Je wakati anakula kiapo kizito namna ile huku analitaja jina la Mwenyezi Mungu haogopi?, Yaani ni mkavu kabisa na moyoni mwake ana amani kabisa kuwa alilofanya ni sawa?
Mzee Msekwa amesema kuwa uwepo wa akina Halima Mdee bungeni ni uvunjifu wa katiba ya nchi, Je Ndugai ameziba masikio kabisa na kushiriki uvunjifu mkubwa huu wa katiba bila wasiwasi wowote?
Nimkumbushe tu Ndugai, Jina la Mwenyezi Mungu huwa halichezewi, Hicho kiapo ulichokula kuwa utaheshimu sheria za nchi halafu ukazivunja makusudi huku Ukijua, basi jua Biblia uliyoikamata wakati unaapa na Mungu alishuhudia. Na imeandikwa katika maandiko USILITAJE BURE JINA LA MUNGU wako!
Ndugai, Waondoe hao wabunge 19 ambao unajua wazi wamo bungeni kinyume cha katiba, nje ya hapo kumbuka kiapo chako ulichoapa kwa kulitaja jina la Mungu.
Ndugu Ndugai, Mungu huwa hataniwi!
Sisi tunamjua huyo ndie anastahili abebe lawama,zaidi kwa maneno yake na aliahidi kuwalinda kwa gharama yeyote.Ndugai aliletewa majina ya akina Halima Mdee na NEC
NEC imedai ilipokea majina hayo kutoka kwa J J Mnyika.
Nani wa kulaumiwa hapo!