Ha ha ha ha kazi kweli kweli!!!!!!!Katika hili mheshimiwa umeshindwa vita kwenye hatua ya maandalizi,au umeanguka kabla hujasimama.
Ha ha ha ha kazi kweli kweli!!!!!!!Katika hili mheshimiwa umeshindwa vita kwenye hatua ya maandalizi,au umeanguka kabla hujasimama.
Aksante kwa ufafanuzi mkuu,,maana hata mie nilikuwa nawaza kama Spika!!!!!!!Ndio kwaza unasikia toka kwa mayalla kuwa bunge lako ni butu kuliko bunge lolote katika historia ya Tanzania? Na je mtu kusema ukweli nalo ni kosa? Na hata hivyo unataka kukataa kuwa wabunge wengine wamebaki kutoa huduma za kijamii (kibinadamu)na kuacha majukumu yao ya kimsingi ya kuisimamia serikali na kutunga sheria? Au wewe umelichukuliaje neno "huduma za kibinadamu" Ni mbunge gani hajawahi kufuatwa na wapiga kura wake toka jimboni kwake hadi Dodoma wakihitaji huduma za kibinaadamu(kijamii) ? je Wabunge hawatoi misaada kama ya maziko usafiri na rambirambi kwa wapiga kura wao, vitu kama magari ya wagonjwa,msaada wa karo nk? Si kweli kuwa wabunge hawaishi kulialia bungeni serikali iwatizame kwa jicho la huruma ili wapatiwe maji,hospitali nk, wakati huo huo wakisahau serikali inaendeshwa bila kuzingatia bajeti?
Tatizo watu fulani wanapotafuta Spika, hawatafuti mtu mwenye uwezo, ujuzi, staha na kifua cha kukabiliana na maneno.Huyu spika wa bunge la awamu hii ni mmoja ya kati maspika wa ovyo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa bunge hili.
Umefafanua vizuri. Shida ya sisi Wabongo ni kwamba mambo ya ngono tumeyapa kipaumbele kikubwa na hivyo kila kitu tunakiangalia kwa jicho la ngono kwanza kabla ya kufikiria kintu kingine cho chote. Mnakumbuka kauli ya mama Profesa Tiba ya 'kadri tunavyotanua ndivyo ...'. Mama alisema kwa nia nzuri kabisa lakini wabunge wenzake na wabongo nje ya bunge kilichopewa kipaumbele ni kauli hiyo kuvalishwa fikira za kingono. Ngono, ngono, ngono!!!Huduma za kibinadamu zina tofauti na misaada ya kibinadamu?
Je ngono ni moja ya huduma za kibinadamu?
Je kutoa msaada wa mazishi ni huduma ya kibinaadamu au la?
Na kuomba msaada wa gari la wagonjwa au kununu sio kutoa huduma ya binadamu?
Kwa ujumla mambo yote yanayohusu huduma za binaadamu(huduma za kijamii) sio kazi za wabunge ni kazi za serikali,kazi za wabunge ni mbili tu kuu kuisimamia serikali na kutunga sheria hili la huduma za binaadamu walilitafuta wao kwa kujipendekeza na sasa linaonekana kana kwamba ni jukumu lao.
Pascal hajamtukana wala kumdharilisha yeyote,tafsili ya spika kuhusu huduma za binadamu ililenga kuupotosha umma.
Yaani kaongea kama vile ana ugomvi binafsi na Mayalla. Maneno yale tu yameshaharibu dhana nzima ya kumuita mbele ya kamati kwasababu tayari spika ameshamhukumu kuwa ni mkosaji. Hata Zitto alimtishia hivi hivi nadhani huyu spika anashida sana na Mass communication skills anaongea utadhani yupo kwenye ugomvi kwenye kilabu cha pombe
Hata miye nimeliona hilo..Spika anawaka hasira kama moto wa petrol, hata kuliongelea swala la brother Mayalla kaongea kwa mihemko mno na vitisho kana kwamba anahukumu kuwa Mayalla kakosea sasa kwenye kamati anamuita kufanya nini??
Ale Beef burger na juice ama sodaPascal Mayalla Ndugai asikutishe, simamia hoja za msingi na usitetereke, lkn uwe makini usile wala usinywe chochote kutoka ofisi ya bunge
Je Bunge linajipendekeza?
"Naomba nisilijibu swali hili nisije kuitwa mbele ya kamati ya haki,kinga na madaraka ya bunge na kuambiwa nimelikashifu Bunge"
Mwisho wa kunukuu sehemu ya makala inayolalamikiwa.
Mheshimiwa spika kwa heshima na taadhima ningependa kuchukua nafasi hii kukupa ushauri wa bure,licha ya kufahamu kuwa wewe ni nguli wa sheria na ni mbabe lakini katika hili umekurupuka utadharilika mapema na asubuhi.
Nilikusikiliza ulivyokuwa ukitoa povu kuwa bunge ni mhimili na spika sio mtu wa mchezo mchezo na jinsi ulivyokuwa ukimsikitikia pascal kwa kitendo chake cha kuandika makala chonganishi kati ya serikari,wananchi na bunge!
Katika hili mheshimiwa umeshindwa vita kwenye hatua ya maandalizi,au umeanguka kabla hujasimama.
Nenda upitie hoja hizi utafakari na ufanye marejeo kwenye maamuzi yako:-
Mwisho nakushauri mheshimiwa Muungwana akivuliwa huchutama,ingawa kuchutama si utamaduni wa serikali ya awamu hii lakini wewe katika hili chutama Pascal hutamuweza,utaadhirika.
- Ni katika aya ipi Pascal katoa hitimisho kuwa "Bunge linajipendekeza"
- Katika mifano aliyoitoa Pascal upi ni wa uongo?
- Ni sheria au kanuni ipi inayoruhusu ripoti ya kamati ya Bunge kuwasilishwa kwenye muhimili mwingine?
- Hukujua kuwa kwa kuwasilisha ripoti ya kamati ya Bunge kwenye muhimili wa serikali(Rais) ulikuwa ukikiuka kanuni za bunge na kulidharilisha Bunge?
- Je Mkaguzi na Mdhibiti wa hesabu za Serikali nae amelisingizia Bunge kuwa halitekelezi wajibu wake wa kuisimamia serikali?
- Ni shetani gani ameliingilia Bunge lako na kuiacha serikali itumie fedha za umma bila kuidhinishwa wala kuleta marejeo ya bajeti? Na Bunge lako likikaa kimya kana kwamba hakuna kinachotokea!
- Ndio kwaza unasikia toka kwa mayalla kuwa bunge lako ni butu kuliko bunge lolote katika historia ya Tanzania? Na je mtu kusema ukweli nalo ni kosa? Na hata hivyo unataka kukataa kuwa wabunge wengine wamebaki kutoa huduma za kijamii (kibinadamu)na kuacha majukumu yao ya kimsingi ya kuisimamia serikali na kutunga sheria? Au wewe umelichukuliaje neno "huduma za kibinadamu" Ni mbunge gani hajawahi kufuatwa na wapiga kura wake toka jimboni kwake hadi Dodoma wakihitaji huduma za kibinaadamu(kijamii) ? je Wabunge hawatoi misaada kama ya maziko usafiri na rambirambi kwa wapiga kura wao, vitu kama magari ya wagonjwa,msaada wa karo nk? Si kweli kuwa wabunge hawaishi kulialia bungeni serikali iwatizame kwa jicho la huruma ili wapatiwe maji,hospitali nk, wakati huo huo wakisahau serikali inaendeshwa bila kuzingatia bajeti?
- Unadhani wananchi walikuwa usingizini wakati unapewa maelekezo ya kuwakomoa wabunge wenye kihelehele na wenye kidomodomo ndani ya Bunge na kuwa uwatimue na wakija nje muhimili mwenza uwaahughurikie? Unadhani wananchi ni vipofu hawakuona kilichotokea?
- Je cheo cha uspika ulicho nacho ni cha kudumu? Kama sio unaenda kuacha nini nyuma yako!
- Historia huwa haikosei, niambie toka Bunge la kwanza la Tanzania ni Bunge lipi liliwahi kukumbwa na vituko,ubabe,hatari na visasi kama hili la kwako?
Pia soma > Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndungai alipoteza sifa za kuwa mbunge tangu siku ile alipomcharaza bakora mgombea mwenzake hata uhalali wa kumuita Mayalla kwenda kumuhoji bungeni sijui anaupata wapi wakati alitakiwa aihoji serekali ni kwanini alipotenda kosa la jinai hakupelekwa jela.
Wachumia tumbo [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mi mwenzenu naliona Bunge la Tanzania kwa sasa ni kama Kijiwe cha umbea na kutetea Serikali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mkuu UmetishaMkuu kwani hukumbuki alivyomcharaza mwenzake bakora kipindi kile cha kampeni? Ana jazba sana huyu supika. Yaani nimemcheki anavyotoka povu nikasema hiiiiiiiiiii!!!
Hiiiiiiiiiiiiiii[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji115]'wewe wabane kule mimi ntawashughulikia huku.....'