Spika Ndugai, Pascal Mayalla alijiandaa. Kasome upya makala,utaadhirika...

Hahahahahahahah lol! Wewe Pascal Mayalla nimecheka sana aisee na dharau na kejeli za huyu dikteta uchwara mwingine.

I salute you Sir Pascal Mayalla umegusa penyewe kabisa pale pale panapostahili na kulitikisa Bunge uchwara kitengo cha jiwe na hii Serikali dhalimu.
Tunahitaji watu wenye ujasiri wa kupambana na huu udikteta.
 
Makala ya Pascal imekidhi vigezo vya ubora isipokuwa pale aliposema wabunge wengine wanaenda kutoa "huduma za kibinadamu". Ni meneno hayo tu, na hapo upo udhalilishaji hasa kwa wabunge wanawake. Kwa sababu huduma za kibinadamu zingefanyika hata kama wasingekuwa wabunge. Kwani sisi tusiokuwa wabunge hatufanyi? Ningemshauri, Ndugu yangu Pascal, hilo aliombee msamaha kuwa kalamu iliteleza na yale yote yatakayosalia akomae nayo ni kweli.
Pole sana, Ndugu yangu.
 
Huduma za kibinadamu hapo rambirambi, magari kubeba au kusafirisha maiti, michango ya harusi na shule n.k
 
Makala ya Pascal imekidhi vigezo vya ubora isipokuwa pale aliposema wabunge wengine wanaenda kutoa "huduma za kibinadamu". Ni meneno hayo tu, na hapo upo udhalilishaji hasa kwa wabunge wanawake. Kwa sababu huduma za kibinadamu zingefanyika hata kama wasingekuwa wabunge. Kwani sisi tusiokuwa wabunge hatufanyi? Ningemshauri, Ndugu yangu Pascal, hilo aliombee msamaha kuwa kalamu iliteleza na yale yote yatakayosalia akomae nayo ni kweli.
Pole sana, Ndugu yangu.
Huduma za kibinadamu zina tofauti na misaada ya kibinadamu?
Je ngono ni moja ya huduma za kibinadamu?
Je kutoa msaada wa mazishi ni huduma ya kibinaadamu au la?
Na kuomba msaada wa gari la wagonjwa au kununu sio kutoa huduma ya binadamu?
Kwa ujumla mambo yote yanayohusu huduma za binaadamu(huduma za kijamii) sio kazi za wabunge ni kazi za serikali,kazi za wabunge ni mbili tu kuu kuisimamia serikali na kutunga sheria hili la huduma za binaadamu walilitafuta wao kwa kujipendekeza na sasa linaonekana kana kwamba ni jukumu lao.
Pascal hajamtukana wala kumdharilisha yeyote,tafsili ya spika kuhusu huduma za binadamu ililenga kuupotosha umma.
 
Makala ya Pascal imekidhi vigezo vya ubora isipokuwa pale aliposema wabunge wengine wanaenda kutoa "huduma za kibinadamu". Ni meneno hayo tu, na hapo upo udhalilishaji hasa kwa wabunge wanawake. Kwa sababu huduma za kibinadamu zingefanyika hata kama wasingekuwa wabunge. Kwani sisi tusiokuwa wabunge hatufanyi? Ningemshauri, Ndugu yangu Pascal, hilo aliombee msamaha kuwa kalamu iliteleza na yale yote yatakayosalia akomae nayo ni kweli.
Pole sana, Ndugu yangu.
Kwa hiyo wewe ukiambiwa kunahitajika huduma za kibinadamu moja kwa moja unawaza ngono .....?

Hongera pascal uwezo wako umewazidi wengi.!
 
Wabunge wanapoomba kura kwa wananchi wanakuwa wapole wako tayari kutoa hata makalio yao wachapwe viboko na wapiga kura wao ili wapate kura.

Usingemalizia hayo maneno mbele duh! ungeitwa Uhamiaji[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
kamati ya maadili ni chombo cha bunge, mlalamikaji ni bunge. spika kesha mhukumu mayala. kwa akili ya kawaida kamati haitatenda haki. ukubwa ni jalala, ukiwa mkubwa unahitaji busara ya ziada, si mihemko.
 
Back
Top Bottom