Spika Ndugai asikitishwa na hali ya wanafunzi wa jimbo lake la Kongwa kukaa chini

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,150
Spika Ndugai ambaye ni mbunge wa Kongwa amesema anasikitishwa na hali ya wanafunzi katika shule za jimboni kwake kukaa chini kwa kukosa madawati katika zama hizi za sayansi na teknolojia.

Ndugai amesema hayo katika hafla ya kukabidhi madawati yaliyotolewa kama msaada na benki ya NMB kanda ya kati katika moja ya shule za sekondari jimboni Kongwa

Na wanafunzi wa shule hiyo wameishukuru benki ya NMB kwa kuwakomboa kwani kwa muda mrefu wamekuwa wakikalia Ndoo na matofali.

Chanzo: Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
 
Nilifika Kongwa na nikaripoti humu


Kama sasa anasikitishwa na hali hii, huu ni mwanzo mzuri, tutamshauri the right thing for him to do for Kongwa come 2020
P
 
He is too late man. Kongwa umaskini umekata hadi akili za wananchi zimedumma. Mfano mdogo ni barabara ya nako.. iko toka enzi za uhuru mpaka leo hakuna lami wkt barabara hiyo inafika kiteto.
Umeme wenyewe umeletwa na NGO.

Mbunge aonekani mpaka uchaguzi.. kati ya majimbo choka mbaya kongwa moja wapo.
Nilifika Kongwa na nikaripoti humu


kama sasa anasikitishwa na hali hii, huu ni mwanzo mzuri, tutamshauri the right thing for him to do for Kongwa come 2020
P
 
Sasa ilikuwaje wakamkamata aliyepost picha inayoonesha majengo ya shule yakiwa katika hali mbaya katika jimbo lake? Huyu si alikuwa anasaidia kuonesha tatizo na spika kakiri?
 
Asianze kulalamika, staili yake ya kushinda ni hii japo ni giza mbele kwa sasa
tapatalk_1555245893539.jpg
 
Huyu dingi hua namshangaa sana. Tatizo kasahau alipotoka amelewa sana uspika anajiona yupo on top of the world. Ovyo sana
 
Achukie zile hela alizozuia za matibabu ya Lissu akanunue madawati huko kwao.
 
Back
Top Bottom