Spika Ndugai asikitishwa na hali ya wanafunzi wa jimbo lake la Kongwa kukaa chini

Hivi si huyu huyu miezi kadhaa iliyopita alikuwa anamtafuta mtu aliyetuma picha mitandaoni toka jimboni kwake zikionyesha ubovu wa vyoo, au huyu ni mwingine
 
Nilifika Kongwa na nikaripoti humu

Kama sasa anasikitishwa na hali hii, huu ni mwanzo mzuri, tutamshauri the right thing for him to do for Kongwa come 2020
P

Siku za nyuma angesikiliza hayo unayotaka kumuambia. Sasa hivi kwenye chaguzi mkurugenzi anaagizwa apokee fomu ya mgombea wa ccm kisha anajificha, au anasema wagombea wa upinzani wamekosea kujaza fomu.
 
Nilifika Kongwa na nikaripoti humu
kama sasa anasikitishwa na hali hii, huu ni mwanzo mzuri, tutamshauri the right thing for him to do for Kongwa come 2020
P
Mwanzo mzuri maanake nini? Kwani ni Mtawala wa maisha? Hakuna wengine?duh
 
Hali iliyoko Kongwa naamini inawakilisha sehemu nyingi za nchi yetu ilivyo. Hali ni mbaya kila mahali, kuna mahali watu hawajawahi hata kuona gari, gari zinaonekana wakati wa uchaguzi tu.

Hii ndiyo hali halisi ya Tz yetu.
 
Bora,aachie uspika abaki na ubunge.madaraka yamemzidi
Nilifika Kongwa na nikaripoti humu

Kama sasa anasikitishwa na hali hii, huu ni mwanzo mzuri, tutamshauri the right thing for him to do for Kongwa come 2020
P
 
Hali iliyoko Kongwa naamini inawakilisha sehemu nyingi za nchi yetu ilivyo. Hali ni mbaya kila mahali, kuna mahali watu hawajawahi hata kuona gari, gari zinaonekana wakati wa uchaguzi tu.

Hii ndiyo hali halisi ya Tz yetu.
Sehemu nyingi zitaje basi!
 
Hali iliyoko Kongwa naamini inawakilisha sehemu nyingi za nchi yetu ilivyo. Hali ni mbaya kila mahali, kuna mahali watu hawajawahi hata kuona gari, gari zinaonekana wakati wa uchaguzi tu.

Hii ndiyo hali halisi ya Tz yetu.
Leo Ndugai uneshuka na utetezi wa " Jumla Jumla", siku nyingine huwa mnatuaminisha majimbo yanayoongozwa na wapinzani ndo yana hali mbaya..! Leo vipi unasema ndo hali ya majimbo yote?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom