johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,530
- 141,330
Spika Ndugai ambaye ni mbunge wa Kongwa amesema anasikitishwa na hali ya wanafunzi katika shule za jimboni kwake kukaa chini kwa kukosa madawati katika zama hizi za sayansi na teknolojia.
Ndugai amesema hayo katika hafla ya kukabidhi madawati yaliyotolewa kama msaada na benki ya NMB kanda ya kati katika moja ya shule za sekondari jimboni Kongwa
Na wanafunzi wa shule hiyo wameishukuru benki ya NMB kwa kuwakomboa kwani kwa muda mrefu wamekuwa wakikalia Ndoo na matofali.
Chanzo: Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!