bysange
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 4,456
- 1,565
nasikia na yeye ANAUTAKA?
kwa hiyo ndio anafanya mazoezi au...hahahaaaa
nasikia na yeye ANAUTAKA?
Nani anamtamani? wewe nani anakutamani? kutamani ni hulka ya mtu, yaani wewe unavyoonekana hata upite una nguo moja tu, siwezi kukutamani!
haa haa, hapo angekuwa seif hamadi, ungesikia maccm jinsi ambavyo yangechonga, ungesikia eti anataka kuwarudisha waarabu!
Huko hawana jeuri hiyo. Wataruhusu hata kuangia na viatu misikitini.Hivi Michele Obama naye anaweza valishwa hivi akiwatembelea? Au Chancellor wa germany. Anyway ni kilainishi cha kufanya bakuli tuliloenda nalo lisirudi tupu, lijae jae.
Hii ndo faida ya kuomba omba. Angevalishwa kama nchi inajiweza??
Hii ndo faida ya kuomba omba. Angevalishwa kama nchi inajiweza??
Hili vazi halimkataagi mtu.
![]()
![]()
Lukuvi yupo lakini kushoto kwa Lukuvi sina hakika kama ni Mbowe
Kuna watu kama Mbowe na Lukuvi kwenye picha ya tatu, au ni macho yangu!
Hivi Michele Obama naye anaweza valishwa hivi akiwatembelea? Au Chancellor wa germany. Anyway ni kilainishi cha kufanya bakuli tuliloenda nalo lisirudi tupu, lijae jae.