Spika Anna Makinda yupo ziarani nchini Oman

Spika Anna Makinda yupo ziarani nchini Oman

Kuna watu kama Mbowe na Lukuvi kwenye picha ya tatu, au ni macho yangu!

Ndo wao, Sio kila muda ni kuandamana nyakati nyingine ni za kuchapa kazi walizotumwa na mkumbukwa Jakaya
 
....

attachment.php

Mbona anaonekana ana manyonyo makubwa. Ama kaweka vifu?
 
Kikwete baada ya kuvurunda mchakacho wa Katiba na kushtukia mataifa ya magharibi ambayo ni wahisani wakubwa wa bajeti ya serikali kuanza kumgeuzia mgongo huyo ameandaa safari ya kwenda China na baadaye nchi za kiarabu kuendelea kupitisha baliki kuombaomba wakati rasilimali za nchi zipo.

Wa kale waliyasema bora uwe fukara upate akili
 
Hajavaa kwa matakwa yake ni kwa msukumo fulani so haina hata maana
 
Hawa si wanawatukana sana Waarabu ndani ya bunge mpaka nje ya bunge hawa CCM na mara zote wanasema waarabu wanataka warudi ili utumwa uwe kama zamani?

Au huwa wanazugwa wadanganyika tu?

Wamekwenda kufanya nini au Makinda leo amekubali kuwa Mtumwa?

Na huyu Lukuvi waarabu na dini yao amewachukia sana kenda kufanya nini au kabadili dini?
 
mbona hawezi kusafiri safari moja na wapuuzi wa ccm

Weee...kwenye maslahi anatulia kama BULL aliyefungwa bangili puani, unamvuta tu.....ile mikwara ya kwenye tv na kwenye mikutano ya hadhara ni mbwembwe tu.
 
Kwa hiyo hadithi hii ya makinda inatufundisha nini?
 
Back
Top Bottom