haa haa, hapo angekuwa seif hamadi, ungesikia maccm jinsi ambavyo yangechonga, ungesikia eti anataka kuwarudisha waarabu!Kavaa kumfurahisha mhisani
Siasa kweli ny.o.ko!
hamwezi kupata maendeleo kwa kuombaomba misaada kamwe!mtaendelea kukashfu watu wanaendelea kutuombea misaada ili tuendelee mnamshangaa makinda malkia wa uk akienda huko huvaa kama makinda
Ni wawakilishi wa mkumbukwa Jakaya?!Ndo wao, Sio kila muda ni kuandamana nyakati nyingine ni za kuchapa kazi walizotumwa na mkumbukwa Jakaya
Ni kanuni. Bendera haiwezi kupepea kinyume na upepo.Usanii hauishi, akienda uarabuni anapiga hijabu, akienda ulaya anavaa vimino na akienda Marekani anapiga full jeans.
Hii ndo faida ya kuomba omba. Angevalishwa kama nchi inajiweza??
mwache atinge atakavyoUsanii hauishi, akienda uarabuni anapiga hijabu, akienda ulaya anavaa vimino na akienda Marekani anapiga full jeans.
Utamaduni wakina nani?
alikuwa wapi hapa?