Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"

View attachment 742128

Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.

Taarifa zaidi zinafuata...
Japo na mimi pia ni binadamu na kuna maeneo nilitumia lugha isiyo faa, ila kiukweli baada ya kuitwa huku, nilibadilika na kuwa mzalendo zaidi, hii ya kuitana na kuhojiwa na kamati, iliyokuwa ndio fimbo ya JYN aliotumia kuficha udhaifu wake katika kuongoza Bunge.

Sasa imejitokeza fursa, tuitumie.
P
 
Hongera kaka,wao wakikuwa na mamlaka, wewe ulikuwa na Kalamu, na imetenda kazi.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom