Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
Ni kweli ni chache sana ila mie mambo ninayotumia sio makubwa sana
Si ungejinyamazia tu.
Ni kweli ni chache sana ila mie mambo ninayotumia sio makubwa sana
its no reward its a curse,we unakaa mars au hadi udownload 1 gb/sec ha haha ha
Mbona hapa hapa duniani speed hiyo ipo !
Any way we komaa na Tigo mi ntakomaa na Smile mpaka watakapo shtuka !
Hivi kati ya Tigo na Voda mtandao upi upo faster kwenye internet???
hahahahaaha!Ndo smile wanakupa speed ya 1GB/s na hiyo mobile partner uloweka ni pale ni ya nn?
Na hilo neno "Limited" ni la nini mbele ya speed?
Na unajua kwamba speed kwenye IDM huwa haina Comma(,) yaani kama ni 1MB/s ikitokea ikaandika 1000KB/s hamna koma kama ulivyoweka yaani picha yako haina Reality na hiyo kitu tukiifanyia forensics utakuta ni edited image
Nani kasema natumia hiyo speed kwa smile ?
Elewa kwanza nilichokuwa namaanisha ! Hiyo speed iitumii mimi !
Na smile hawawezi kuleta speed kama hiyo labda after a decade !
Na hizo habari za comma na limited speed ni shits nani kakudanganya ?
Umekurupuka usingizini Au ulitaka kuonekana nawe nimjuaji ?
imekua vita ghafla tumia lugha nyepesi picha yako haina uhai kaiweke photoshop upya afu uirudishe hapa...
Pia kajifunze kusoma vizuri maana yale yalikua maswali ambayo ilibidi uyajibu kuondoa sentesi tata uliyokua umeandika rudi nyuma soma comment tena
Nimemwambia shin c hiyo speed ipo hapa hapa duniani ! Na sijamaanisha naitumia mimi !
At the end nikamwambia akomae na Tigo nami nakomaa na smile !
We umekuja kuelezea na habari za commas na limit !
Sahizi unakimbia swali
Hapana usikimbie swali !
Ulitaka kuonekana nawe nimjuaji au ?
Usingeweka na IDM kidogo hiyo speed ya Dashboard 10MBps ingetishia !
Ila kama Downloading speed ya IDM ni 1.34MBps basi ni speed ya kawaida sana !
Ni differ sana na 4G ya smile ! Hiyo speed ya Tigo ina ---- !
Mimi ni mjuaji ndio niko hapa kutumia ujuaji wangu kuwafungua macho wasio jua
mfano soma comment yako hapo chini
Kajifunze upya speed calibration
Sasa we mjuaji mbona unatoa shits hapa ?
Huo ujuaji ndo unaokudanganya IDM haitumii commas na limit ?
Usielezee vitu ambavyo hauko pretty sure with !
Naukaonekana damn shit na huo ujuaji wako !
unaonekana ni newbie kajifunze upya speed calibration kwenye dashboard na kajifunze calibrations zinazotumika kwenye IDM afu urudi hapa uje kubishana na mimi
I cant sit down with my 2 balls and argue with a fool
-----------END-----------==>(unakimbia maelekezo)
Hivi kati ya Tigo na Voda mtandao upi upo faster kwenye internet???
Achana na huyu muongo tuendeleze makamuzi hapa mpaka asubuhi yaani 2hrs zilizopita nshashusha 7GB naendelea na 7GB maana PC yangu haina Drivers za sauti kucheza kwenye Microphone hivo nashusha Driver pack solution v14
![]()
mkuumodem hiyo ni ya aina gani, nibei gani, je tz zipo
Ungejiunga Kifurushi cha siku ! Usingepata speed ndogo !
Ukijiunga unlimited baada ya Kufikia limit flani
! ISP huwa wanafanya speed throttling kwa hapa TZ ndivyo wananchi tulivyolidhika na uonezi huu !
Ila kuna njia zaku bypass nyingi ni ---- tu !
Ngoja tuwasikilizie Airtel Jamaa ! Wanafikisha 8GB mpaka sasa bila speed kushuka !
Kiukweli kwa takribani wiki moja na nusu hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana tunapozungumzia kasi ya internet kwa hawa tigo, yani zamani spidi ya kudownload kawaida mchana 60 kb/s ila kwa sasa nmeshangaa sana spidi average ya kudownload inaenda 320 kb/s.
Kiukweli wamejitahidi sana yani jana nmedownload movie ya gb 1 at a satisfying speed hongereni sana tigo.