Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Inategemea na eneo na pc au cm unayotunia huwezi amini sehemu ninayokaa huwa inaenda mpaka 4Mb/s hadi huwa nashangaa bt sometimes huwa inashuka mpaka 500kb/s ila nipo karibu na mnara sasa sijui ndo maana harafu wanachonifurahisha zaidi wananipa 500MB for 500 per month.Nakula bata tu

Karibu voda.. 3Mb/S Better than 320kb/s
Tigo kwa speed ya net bado sanaaa
Inategemeana na maeneo mlipo !
Mi naona Tigo ina speed kubwa kuliko Voda !
watawafikia na nyinyi kama wiki 3 zilizopita huku kwetu waliupdate mitambo, net ilikata kama siku 2 kurudi ni mwendo wa 1MB/ps tu
Inategemea na eneo na pc au cm unayotunia huwezi amini sehemu ninayokaa huwa inaenda mpaka 4Mb/s hadi huwa nashangaa bt sometimes huwa inashuka mpaka 500kb/s ila nipo karibu na mnara sasa sijui ndo maana harafu wanachonifurahisha zaidi wananipa 500MB for 500 per month.Nakula bata tu
- Hapa kweli tumetofautiana matumizi
- Kwa mimi 500MB hazimalizi hata dk 30 zinakuwa zimeisha
Ni kweli ni chache sana ila mie mambo ninayotumia sio makubwa sana
500MB for 500 per month ni kifurushi kipi hicho??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo unatuma neno OFA to 15166 kama una sifa za kupewa ofa unapewa kama huna wanakwambia.
Speed kubwa vifurushi wanakupa vya mb waweka vya unlimited kama airtel na voda zantel wao wamelala watu wengi sasa hiv wapo voda na airtel kwa ajili ya unlimited na speed kubwa kuliko tigo
Inategemeana na maeneo mlipo !
Mi naona Tigo ina speed kubwa kuliko Voda !
shahama tigo maana nkifka hm mchna anagoma kufanya kaz na mie bila jf cwez lala,ila voda akaaa kwa raha zangu
watawafikia na nyinyi kama wiki 3 zilizopita huku kwetu waliupdate mitambo, net ilikata kama siku 2 kurudi ni mwendo wa 1MB/ps tu
Karibu voda.. 3Mb/S Better than 320kb/s
watawafikia na nyinyi kama wiki 3 zilizopita huku kwetu waliupdate mitambo, net ilikata kama siku 2 kurudi ni mwendo wa 1MB/ps tu
hiyo speed ya downloading au ile ya kusoma kwenye dashboard?Karibu voda.. 3Mb/S Better than 320kb/s
Karibu voda.. 3Mb/S Better than 320kb/s